Wayahudi ni Neno lililotokana na kabila la Yuda mmoja wa watoto wa yakobo ambao waligawiwa ardhi na yoshua baada ya kuwatoa misriTupe chanzo cha habari yako tafadhali!
Wakati unafanya hivo pia utueleze kwa kifupi asili ya Wayahudi maana habari yako imeegemea upande mmoja.
Ardhi aliyowagawia Yoshua ilikuwa ya nani?Wayahudi ni Neno lililotokana na kabila la Yuda mmoja wa watoto wa yakobo ambao waligawiwa ardhi na yoshua baada ya kuwatoa misri
Una muuliza maswali ya msingi sana Huyo kimaArdhi aliyowagawia Yoshua ilikuwa ya nani?
Unaweza kumthibitisha walau huyo Mungu unaesema ardhi ile ni ya kwake?Ilikuwa ya Mungu na waliyoishi huko walikuwa waperisi na wakanaan ndio walikuwa wenyeji wa ardhi hiyo
Kumbuka Abraham anatoka iraki kuja kanaan kwa agizo la Mungu na Mungu anamwahidi kumpa nchi hiyo wazawa watakaotokana na abrahamUnaweza kumthibitisha walau huyo Mungu unaesema ardhi ile ni ya kwake?
Kama utaweza kuthibitisha uwepo wake pia fafanua mbona historia ya kitabu chako unachosimamia kinasema kuwa kabla ya hawa watoto wa Ibrahim kuiteka nchi ile walipambana kwanza na wenyeji wa pale? Kwahiyo tukubali watoto hawa wa Ibrahim waliingia vitani na Mungu unaemmaanisha?
Nakuuliza hivi sababu umesema nchi ile ilikuwa ya Mungu wako.
Unazungumzia biblia hii yenye vitabu kama series ya jumong na kufanyiwa marekebosho kutokana na dunia inavyokwenda au? tuanzie hapo.Wafilisti walikuwa kabila la watu wa Ulaya ambao walivuka Bahari ya Kati na kisha kushindwa kuvamia Misri waliteka pwani ya Kanaani (1175 KK hivi) wakifaidika na silaha za chuma walizozitumia dhidi ya watu waliokuwa na zile za shaba tu, wakiwa wenyeji au Waisraeli.
Ingawa hawakuwa wengi, waliathiri sana nchi yao mpya, kiasi cha kuiachia jina la Palestina.
Habari nyingi juu yao zinapatikana katika Biblia.
Habari za wafilisti zinapatikana humoUnazungumzia biblia hii yenye vitabu kama series ya jumong na kufanyiwa marekebosho kutokana na dunia inavyokwenda au? tuanzie hapo.
Jibu lako linazidi kuibua maswali zaidi mkuu!Kumbuka Abraham anatoka iraki kuja kanaan kwa agizo la Mungu na Mungu anamwahidi kumpa nchi hiyo wazawa watakaotokana na abraham
Kwa hiyo wa kumlaumu ni yule aliyemtaka abraham kutoka iraki kuja kanaan kuishi pamoja na wenyeji waperisi na wakanaan na kumwahidi nchi hiyo itakuwa ya kizazi kitakachotokana na abraham
Hii ni ahadi aliyopewa Abraham kabla hata isaka na yakobo hawajazaliwa
..huuu ni upumbafu kabisaKumbuka Abraham anatoka iraki kuja kanaan kwa agizo la Mungu na Mungu anamwahidi kumpa nchi hiyo wazawa watakaotokana na abraham
Kwa hiyo wa kumlaumu ni yule aliyemtaka abraham kutoka iraki kuja kanaan kuishi pamoja na wenyeji waperisi na wakanaan na kumwahidi nchi hiyo itakuwa ya kizazi kitakachotokana na abraham
Hii ni ahadi aliyopewa Abraham kabla hata isaka na yakobo hawajazaliwa
...asipo elewa hii kuhusu uhuni wa wayahudi...basi karogwaJibu lako linazidi kuibua maswali zaidi mkuu!
Kwa kifupi tu hivi leo hii au kesho ikitokea Wayahudi wakaja hapa Tanzania wakiwa na ndege za kijeshi, vifaru, bunduki na kila aina ya silaha wakaanza kutushambulia kila kona wakisema, "JEHOVAH/MUNGU KATUPA NCHI YA TANZANIA TUITAWALE NA KUIMILIKI!" utawaelewa na kuwasaport kwa kuwa Mungu wao ndio amewapa Tanzania?
Kumbuka Mungu wao pia wakati ule aliwaamuru waje kila mtu watakaemkuta mule/kanaan! Sasa chukulia ndio tupewe taarifa leo kuwa asubuhi ya kesho tuwe tumeondoka nchini mwetu laa sivyo tutauawa wote na Wayahudi kwa kuwa Mungu amewapa nchi hii.
Nakuuliza tena! Utakuwa tayari kwa jambo hilo kwa kuwa Mungu ndio kasema?
Je, kwaweza kuwa na Mungu mpumbavu namna hii?
Mungu muweza wa yote, mwenye upendo, mjuzi wa yote, aliyeko kila mahali aweza kuyatenda hayo?
Unajua binadamu mwenye akili timamu akiyaamini haya, basi kuna haja hizi dini zipigwe marufuku maana zinadumaza akili za watoto wetu.
wewe unatia huruma... Umekengeuka kwa kutetea mauaji, umefilisika kwa kuwa mtumwaWafilisti walikuwa kabila la watu wa Ulaya ambao walivuka Bahari ya Kati na kisha kushindwa kuvamia Misri waliteka pwani ya Kanaani (1175 KK hivi) wakifaidika na silaha za chuma walizozitumia dhidi ya watu waliokuwa na zile za shaba tu, wakiwa wenyeji au Waisraeli.
Ingawa hawakuwa wengi, waliathiri sana nchi yao mpya, kiasi cha kuiachia jina la Palestina.
Habari nyingi juu yao zinapatikana katika Biblia.
Mleta hoja atakua chiziMimi ni Mkristu lakini Sikubaliani Kabisa na WaIsraeli Wanachowafanyia WaPalestina..
Kitu kinachonishangaza sana na kuniuma ni pale napoona kundi kubwa la watu duniani wakibariki kwa vimistari vya Bibilia yanayotendwa na Wayahudi ndani ya ardhi ya wapalestina....asipo elewa hii kuhusu uhuni wa wayahudi...basi karogwa
Tumia akiri kidogo brother tambua wanagombania ardhi ya halali kwao yani urithi wao waliopewa na MUNGU.Jibu lako linazidi kuibua maswali zaidi mkuu!
Kwa kifupi tu hivi leo hii au kesho ikitokea Wayahudi wakaja hapa Tanzania wakiwa na ndege za kijeshi, vifaru, bunduki na kila aina ya silaha wakaanza kutushambulia kila kona wakisema, "JEHOVAH/MUNGU KATUPA NCHI YA TANZANIA TUITAWALE NA KUIMILIKI!" utawaelewa na kuwasaport kwa kuwa Mungu wao ndio amewapa Tanzania?
Kumbuka Mungu wao pia wakati ule aliwaamuru waue kila mtu watakaemkuta mule kanaan kuanzia watoto, wazee, kinamama, vijana, kukatakata na maashera yao na kuua mpaka na wanyama wafugwao! Sasa chukulia ndio tupewe taarifa leo kuwa asubuhi ya kesho tuwe tumeondoka nchini mwetu laa sivyo tutauawa wote na Wayahudi kwa kuwa Mungu amewapa nchi hii.
Nakuuliza tena! Utakuwa tayari kwa jambo hilo kwa kuwa Mungu ndio kasema?
Je, kwaweza kuwa na Mungu mpumbavu namna hii?
Mungu muweza wa yote, mwenye upendo, mjuzi wa yote, aliyeko kila mahali aweza kuyatenda hayo?
Unajua binadamu mwenye akili timamu akiyaamini haya, basi kuna haja hizi dini zipigwe marufuku maana zinadumaza akili za watoto wetu.
...pum.bafu wewe-sorry to say that.Tumia akiri kidogo brother tambua wanagombania ardhi ya halali kwao yani urithi wao waliopewa na MUNGU.
Hivyo hawawezi kuja Tanzania kwasababu hawakupewa kuimiliki.