Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
usichojua hao unaowaita waisrael ni wazungu walioiba show hapo mashariki ya kati kwa ajili ya Amerika kutawala uchumi wa mafuta.Habari za wafilisti zinapatikana humo
Kama unataka kuwafahamu wafilisti
Ila wapalestina waondoke warudi kwao ulaya na kama kuna waarabu wa kiislamu warudi katika nchi zao za asili hapo sio kwao kabisa