Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Kama Abrahamu alisafiri kutoka Uru zaid ya kilomita 1500 mpaka kanaan akakuta wenyeji wakanaan na sio wafilisti basi hao wanaojidai ardhi ni yao wakati ina wenyewe wasepe au waendelee kuwa chini ya mwisrael la sivyo hakuna atakae wasikiliza wala kuwasaidia hao waarabu wa kiislamu wanajidai ni wapalestina halisi kumbe ni wahamiaji wa kiarabu
 
Amka wewe GOYIM.
 
Mkuu nakupata sana, nachoshangaa ni kuwa wewe binafsi unang'ang'ania Huo undumilakuwili uñaowashauri wengine wasiwe nao! Kwa sababu mkuu, Haiwezekani watu unaodai kuwa wana DNA moja, wapalestina wawe feki halafu wenzao waisraeli wasiwe feki na au kinyume chake! Hebu nyoosha maelezo mkuu, kama wana DNA moja ni au wote ni halisi au wote ni feki.
 
Mkuu, hivi Urusi iliivamia Crimea lini na Israel ilianza kuikalia palestine lini?! Na hiyo Urusi unayoitolea mfano imeacha lini kuikalia Crimea?! Yaani hizo kelele zimesaidia nini?! Kuna Sahara magharibi pia mkuu....unaisemeaje?! Haya mambo yapo Sana mkuu, wala hayajaisha.
 
Huyo anamuhuri ea moto moyoni
 
Mimi ni Mkristu lakini Sikubaliani Kabisa na WaIsraeli Wanachowafanyia WaPalestina..

Kama hukubaliani usije hata siku moja ukaomba Mungu ukasema haya maneno yafuatayo

1.Mungu wa Ibrahimu, Isacka na Yakobo
2. Mungu wa Israeli, uliyekuepo, uliyepo na utakae kuepo
3. Mungu Bab, Mwana na Roho.
4.Mungu uleyewapiga Wamisri wale mapigo 10
5.Mungu uliye wavusha watu wako katikati ya bahari

Ni nani kama wewe Eeee YAHU
 
Huyo ni GOYIM TUUU
 
Kitu kingine ambacho hamjui ni kwamba baada ya gharika kuu Noah na wanawe na wajukuu zake waliishi huko Uru na Abrahamu alizaliwa huko miaka miwili tu baada ya kifo cha Noah
 
Mkuu alichosema mtoa mada ni kwamba nchi ni ya waisraeli kisa walipewa na mababu zao na sio ya wapalestina ndio namuelewesha hyo hoja haina maana sababu tafiti zinaonyesha hawa wayahudi wa sasa wanashare chimbuko moja na wapalestina haijalishi kama wote ni feki ama lah ila hyo hoja ya kusema mababu zao wayahudi ndio walipewa hyo nchi inakufa hapo. Hiyo hoja ikubalini imekufa ndio tuelezane ufeki wa hawa wayahudi wa sasa unaanzia wapi na ntakuwekea na vitabu hapa visivyo egemea upande wowote ili tuwe kundi moja
 
Kitu kingine ambacho hamjui ni kwamba baada ya gharika kuu Noah na wanawe na wajukuu zake waliishi huko Uru na Abrahamu alizaliwa huko miaka miwili tu baada ya kifo cha Noah
Haahaaaa acha utani bhana vizazi 10 vilipita baada ya Nuhu ndio abraham anazaliwa alafu unasema alizaliwa miaka 2 baada kifo cha nuhu?? Hivi unaweza kunipa huo mstari wa biblia

kasome mwanzo 11 sura nzima utagundua abraham kazaliwa miaka 400 toka kifo cha Nuhu hivyo unachosema hapa ni upotoshaji mkubwa sana ili tu kuitetea israel so sad!!!
 
Wwe ulichosema ni kwamba mataifa mengi yanakalia nchi zingine na watu hawapigi kelele ndio nmetoa mfano kuwa russia hapa ilipo ina vikwazo kibao kisa tu kuivamia crimea na hata hiyo morocco iliwahi kimbia AU kisa tu walipingwa vikali kuikalia kimabavu Sahara..... Hivyo hoja yako kusema kwanni israel pekee inapigiwa kelele haina mashiko maana nmeshakupa mifano ya nchi zinazopigiwa kelele sababu ya kuikalia nchi zingine kimabavu
 
Kumbuka hao wapalestina wanaokaa hapo leo wakijiita wapalestina sio wapalestina halisi Bali ni waarabu wavamizi
Wapalestina halisi walikuwa wafilisti ambao sasa hawapo
 
Na kumbuka hao wafilisti wanatoka ulaya lengo lao lilikuwa uvamizi huko misri
Waliposhindwa wakateka pwani ya kanaan kwa kuwashinda wenyeji wakaiita palestina na miji waliyoiteka ni Gaza, Ashdod, Askalona, Ekroni, na gath
 
Unasoma halafu hauelewi baada ya gharika kuu Noah aliishi miaka 350 baada ya kutoka katika safina
 
Mkuu umejibu vema sana. Hichi kitu najiuliza sana.. ilikuwaje Joshua na jeshi lake wakapata uhalali wa kuwaua watu wasio na hatia? Je Mungu aliwezaje kuruhusu mauaji hadi ya watoto wadogo? ....... kwa upande mwingine ni kuwa wapalestina walikuwa kwenye hiyo ardhi kabla hata ya Ibrahim sasa inakuwaje kwa sasa watimuliwe na kuuwawa ovyo kama nzige.
 
Wapalestina au wafilisti Waliingia kanaan kutokea ulaya wakati huo Joshua ameshakufa na Israel inaongozwa na waamuzi wakati huo
Wakazi wenyeji ni wakanaan ambayo kabla walichanganyika na abraham alipotoka Uru akawakuta wakanaan na makabila mengine hapo
 
Ila hao wanajiita wapalestina hivi sasa ni waarabu wa kiislamu waliovamia eneo hilo baada ya wayahudi kutawanyika huko ulaya
 
Kanaan kwa sasa imejaza nchi kibao kama Lebanon, Jordan, Syria lakini jiulize kwa nini kuna ugonvi kati ya Israel na palestina kwa sasa
Ni kwa sababu palestina anataka apewe mji ambao haujawahi kuwa wake na wala kihistoria haipo
Yerusalem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…