Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje mkasajili mchezaji wa kiwango kidogo kisichoendana na ukubwa wa timu?Unadhani mchezaji mwenye kiwango kidogo kuliko hadhi ya team akisajiliwa na asifikie kiwango cha team tatizo linakuwa kwa mchezaji au recruiting Team??Bora amejishitukia kiwango chake kidogo kucheza Yanga sasa anatafuta sababu na mlango wa kutokea afute ubovu wake uwanjani, anatakiwa kufukuzwa haraka
Ilikuwaje mkasajili mchezaji wa kiwango kidogo kisichoendana na ukubwa wa timu?Unadhani mchezaji mwenye kiwango kidogo kuliko hadhi ya team akisajiliwa na asifikie kiwango cha team tatizo linakuwa kwa mchezaji au recruiting Team??
Unamjua Depay ww au unamsikia, Man utd walizingua kwa uyu mwambaDepay alisajiliwa Man U lakini hakuperform ni kawaida kutofiti, hafiti mchezo wa Yanga