Ukweli ni mchungu

Ukweli ni mchungu

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
yanga acheni kuwafanya wachezaji wenu watumwa...
IMG_20191210_055713.jpeg
 
Bora amejishitukia kiwango chake kidogo kucheza Yanga sasa anatafuta sababu na mlango wa kutokea afute ubovu wake uwanjani, anatakiwa kufukuzwa haraka
 
Ilikuwaje mkasajili mchezaji wa kiwango kidogo kisichoendana na ukubwa wa timu?Unadhani mchezaji mwenye kiwango kidogo kuliko hadhi ya team akisajiliwa na asifikie kiwango cha team tatizo linakuwa kwa mchezaji au recruiting Team??
 
Depay alisajiliwa Man U lakini hakuperform ni kawaida kutofiti, hafiti mchezo wa Yanga
 
Watumwa wa yanga ni kwanza kocha wao mkwasa,wa pili ngasa na tatu kaseke hao hata mwaka watafanya kazi yanga bila mshahara.
Wanadhani na wengine wanaweza kutumikishwa bure kama hao watumwa sugu.
 
Back
Top Bottom