Ukweli ni upi : Alexander the Great akiwa INDIA

Ukweli ni upi : Alexander the Great akiwa INDIA

Binafsi nimewahi kutembelea maeneo ya kihistoria kule india. Wale jamaa wanahistoria ndefu sana enzi na enzi sema tu haiko celebrated kama ya ulaya. Wana kingdom kibao zilitamalaki na walikua na maendeleo sana tu kabla ya ukoloni wa waingereza. Kingdoms toka za akina Chola, Chalukya, masultan wa delhi mpaka akina Mughals. Wahindi toka enzi ni mafundi sana wa uchongaji,ujenzi na pia madawa ya mitishamba.
 
aiseee " mtihani Sana " nasio kwenye " historia ya madarasani tu" mkuu nyabhingi anasem huyo Alexander ndiye mtu anayefahamika Kama dhur qarnain kwenye Quran ametajwa kwa jina hilo mbaya zaidi amepewa sifa ya ucha mungu",ukiachlia mbali mauaji yote hayo aliyokuwa anayafanya
Unachanganya rangi, km Dhurqarnain ndo Alexander ninakuuliza je huyo Alexander alikuwepo kipindi cha Musa?
 
Haahahaha unanikumbusha uongo wao wa kuwa captain cook alivumbua papua new guinea na australia ila ushahidi mpya unaonyesha kulikuwepo na biashara kati ya wakazi wa papua new guinea (aborigines) na wafanyabiashara wa kutoka pande zote za dunia tokea karne ya 14 hata kabla huyo cook hajatia maguu huko miaka 400 baadae!!!

Siku zinavyozidi kwenda uongo wao unadhidi kudhihirika
Pia usisahau kuna habari kua watu weusi kutoka Mali walikua wanaenda kuuza dhahabu kule America kwa wahindi wekundu kabla hata ya Columbus kufika. Huko Mexico kuna michoro ya Olmecs walikua na sura za watu weusi.
 
Unachanganya rangi, km Dhurqarnain ndo Alexander ninakuuliza je huyo Alexander alikuwepo kipindi cha Musa?
sasa siuende Wikipedia " mkuu utapata mlolongo mzuri wa hili swali lako "" nitakujibu baadae this time niko tight kiasi
 
Ninachojua mimi babeli iliangushwa na uajemi
Uajemi iliangushwa na wayunani
Wayunani waliangushwa na Rumi empire na rumi empire ilidondoshwa na wagermanik na kadhalika
 
sasa siuende Wikipedia " mkuu utapata mlolongo mzuri wa hili swali lako "" nitakujibu baadae this time niko tight kiasi
Wikipedia bado sio reliable source kwa sababu umehusisha Qur'an na mimi nimekujibu hao ni wawili tofauti sababu Dhurqarnain alionana na Musa na ndo maana nami nikakuuliza huyo Alexander alikuwepo kipindi cha Musa?
 
Kwa kweli sikuwahi kujua kama aliwahi kushindwa vita huyu jamaa.
Lakini kwa histori y huyu mr alikua hana huruma hio ya kumuacha mtu kwenye mapambano yake.
Huyu atakua alipata upinzani wa hali ya juu na vita hio alishindwa,ila kwa kua wapotoshaji wa historia walisema hivyo basi na iwe hivyo.
 
Haahahaha hao ndio wazungu yaani anageuza kwa kuogopa majeshi ya kihindi na kichina alafu analia amekosa wapinzani wa kupigana nao 😀😀
hawa wazungu ni wajanja wajanja sana...wamepindua historia nyingi sana,

hapa cha muhimu ni kutafuta historia ya mfalme Porus, nina uhakika lazima historia itaelezea hiyo vita yake na Alex.
 
Hiyo ni hadith ya uongo alexandra aligeuka kurudi uajemi ni baada ya wanajeshi wake kuchoka walitaka kuona familia zao maana miaka 8 wanapambana vitani
 
Huyu alipigwa na kifo ndio kilikua mwisho wa maisha yake na ufalme wake... katika hali ya kawaida angelikua hai asingeachia ufalme wake uparanganyike... kuna sababu.
 
Binafsi nimewahi kitembelea maoneo ya kihistoria kule india. Wale jamaa wanahistoria ndefu sana enzi na enzi sema tu haiko celebrated kama ya ulaya. Wana kingdom kibao zilitamalaki na walikua na maendeleo sana tu kabla ya ukoloni wa waingereza. Kingdoms toka za akina Chola, Chalukya, masultan wa delhi mpaka akina Mughals. Wahindi toka enzi ni mafundi sana wa uchongaji,ujenzi na pia madawa ya mitishamba.
Naskia walikua civilized kitambo sana tatizo ni kuja kutawaliwa na waingereza tuu bora wangekomaa kama china.
 
Nia na lengo la Alexandre the Great ilikuwa kutawala dunia. Falme alizoziteka aliingiza utamaduni wa Kigiriki akichanganya na wa nchi husika.
Yeye ndiye sababu ya kuwa na mji wa Alexandria nchini Misri na alioa watoto wa wafalme aliowateka. Malkia na watoto wake waliendeleza utawala wake.
Alexandria mji mzuri sana huu kule misri,beach nzuri ,watoto wazuri,wana utamaduni Fulani wa kizungu hivi ,asee umenikumbusha huu mji
 
Back
Top Bottom