Mzee unaweza kushare kidogo, maana jamaa kazungumzia kwamba mshua alikuwa katibu mkuu wizara ya fedha, kazungumzia vile vile kuhusu kuvunjwa kwa baraza( ingawa hii naona si kweli, makatibu wakuu na wizara wapi wapi), na vipi kuhusu kupotezana na mshua wake.