Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ilivunjwa baraza halafu wizara ikavunjwa ili kuunganishwa na wizara nyingine. Bahati ikawa mbaya kwa katibu wa wizara moja "Dingi" ndio akawa amepunguzwa kazini. (ni mawazo yangu)Mzee unaweza kushare kidogo, maana jamaa kazungumzia kwamba mshua alikuwa katibu mkuu wizara ya fedha, kazungumzia vile vile kuhusu kuvunjwa kwa baraza( ingawa hii naona si kweli, makatibu wakuu na wizara wapi wapi), na vipi kuhusu kupotezana na mshua wake.
Hiyo inaitwa watoto mkome sunirini wakati wenu sio huuZamani nilikuwa na mawazo kama yako, dingi anaishi maisha yake, akishakufa nanyi inakuwa zamu yenu kula bata kupitia urithi atakaouacha. Waacheni madingi wale bata.