DuhSasa kama maadili ya uchaguzi yanakataza mtu na chama chake asipewe makavu kuhusu udhaifu wake kwenye kampeni nani atasema ccm imefanya ufisadi? Mwendo ni kutangaza sera za chama chako tu, hakuna kusema mabaya ya mshindani wako
Serikali ya wezi na matapeliNawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine.
Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita.
Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake.
Lakini haya husemwa kila awamu isipokuwa tu baada ya awamu husika kutamatika ndipo mazuri ya awamu husika husemwa.
Kwa kuwa tubaelekea katika uchaguzi mkuu , basi Uzi huu utumike kuweka ushaid wa mazuri na mabaya ya awamu hii.