third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118]
Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo matukio unaojirudia, ukajenga mazoea yaliyojenga tabia na ndiyo ukapewa jina na kuitwa maisha.
Wala hatuyaishi maisha Ila maisha ndiyo yanatuishi sisi, kivipi tuendelee utaelewa.
Asilimia kubwa ya watu wanaambiwa kipi Cha kufikili, Wapi pa kwenda, Kipi Cha kufanya na hata jinsi ya kukifanya, lakini si hivyo tu bado Kuna mengi nyuma ya pazia.
Je, umeshawahi kujiuliza Ni wapi unakozipata hizo taarifa zako ambazo unaziamini na kusema zimetoka kwenye Chanzo Cha kuaminika, Je unapata wapi taarifa zinazokuongoza kujijua wewe Ni Nani na ulimwengu Ni Nini!!
Je, Ni Nani anayekuamulia muda wako wa kuamka na kwenda kufanya kazi?, Na je Ni Nani anayeamua uende wapi na ufanye Nini pindi unapofika huko??.
š¤Asilimia kubwa ya kundi la watu ndiyo wapo kwenye ndoto hii ya ulimwengu, maamuzi ya hayo maswali hapo juu Wala hayafanywi na wewe, Ila Mfumo uliopandikizwa ndani yako ambao unakuongoza wewe na maisha yako kwa ujumla.
Taarifa zako unazipata kutoka kwenye chombo kikubwa Cha habari, ambacho kimekuwa kikikuuzia uongo wa kuuamini kila siku, Na uongo huo ndiyo umekutengezea wewe kitu gani Cha kufikilia na kipi Chakukiamini.
Kuna muda maalum ambao inatakiwa uamke ili uwahi kwenda kazini kwa sababu ukichelewa Ni kimbembe kutoka kwa bosi wako.
Unaenda kule ambako bosi wako anakuambia uende na unafanya kile ambacho bosi wako anakuambia ufanye, Kama ukipinga kile ambacho bosi wako anataka ukifanye Basi unakuwa fired, yaani kazi ndiyo unakuwa hauna Tena, na hiyo kukupeleka kukosa mshahara na hivyo kushindwa kumudu mahitaji ya Nyumbani.
Lakini haiishii hapo, vipi kuhusu familia yako na wale wote ambao wanakutegemea, Je Kama usipoutumikia Mfumo vipi hatma yao, hapo, hapo ndiyo inapelekea mtu kujikuta akiuhudumia Mfumo ili tu awafanye wale wanaomzunguka kuwa na furaha.
š¤Lakini pia hata hao tunaowaita mabosi pia wanafanya hivyo ili kuwafurahisha mabosi zao, kwa sababu kila bosi nae anabosi wake pia.
Utakuta unaambiwa Chukua mazao shambani na uyapeleke supermarket na msipofanya hivyo wote kazi hamna.
Lakini naye pia anafanya kile ambacho ameambiwa na watu wa supermarket na akienda kinyume hiyo tenda ya kupeleka bidhaa atapewa mtu mwingine.
Lakini tukija kwenye ngazi za juu pia Yule anayeisimamia hiyo supermarket Ana kazi ya kuwaambia ma shareholders ambao wapo kwa ajili ya kuwawakilisha mabosi zao. Na hao mabosi pia Wana mabosi zao, Basi Ni mzunguko huo tu unaendelea hivyo.
Huu mzunguko ndiyo kusema kila bosi Ana bosi wake au kila mtumwa wa mtu Ni bwana wa mwingine, au kila kondoo wa mtu Ni mchungaji kwa kondoo mwingine.
Na hii ndiyo Njia au misingi ambayo watu wa ulimwengu wamejiwekea, Mfumo unataka kila mmoja awe na mtumwa wake anayemtawala, na inafanyika hivyo katika Njia tofauti tofauti zaidi ya bilioni, ili ukikoswa katika Njia Mona Basi upatikane katika Njia nyingine.
Mfumo Wala hautuhudumii sisi Ila sisi ndiyo tunauhudumia Mfumo, Tumekuwa watumwa ambao tunajiona kwamba tuko huru, kwa sababu hatutaki kuitafuta Ile kweli ilio ndani mwetu.