Ukweli uliofichwa

Ukweli uliofichwa

third eye chakra

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
713
Reaction score
1,745
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118]

Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo matukio unaojirudia, ukajenga mazoea yaliyojenga tabia na ndiyo ukapewa jina na kuitwa maisha.

Wala hatuyaishi maisha Ila maisha ndiyo yanatuishi sisi, kivipi tuendelee utaelewa.

Asilimia kubwa ya watu wanaambiwa kipi Cha kufikili, Wapi pa kwenda, Kipi Cha kufanya na hata jinsi ya kukifanya, lakini si hivyo tu bado Kuna mengi nyuma ya pazia.

Je, umeshawahi kujiuliza Ni wapi unakozipata hizo taarifa zako ambazo unaziamini na kusema zimetoka kwenye Chanzo Cha kuaminika, Je unapata wapi taarifa zinazokuongoza kujijua wewe Ni Nani na ulimwengu Ni Nini!!

Je, Ni Nani anayekuamulia muda wako wa kuamka na kwenda kufanya kazi?, Na je Ni Nani anayeamua uende wapi na ufanye Nini pindi unapofika huko??.

🤏Asilimia kubwa ya kundi la watu ndiyo wapo kwenye ndoto hii ya ulimwengu, maamuzi ya hayo maswali hapo juu Wala hayafanywi na wewe, Ila Mfumo uliopandikizwa ndani yako ambao unakuongoza wewe na maisha yako kwa ujumla.

Taarifa zako unazipata kutoka kwenye chombo kikubwa Cha habari, ambacho kimekuwa kikikuuzia uongo wa kuuamini kila siku, Na uongo huo ndiyo umekutengezea wewe kitu gani Cha kufikilia na kipi Chakukiamini.

Kuna muda maalum ambao inatakiwa uamke ili uwahi kwenda kazini kwa sababu ukichelewa Ni kimbembe kutoka kwa bosi wako.

Unaenda kule ambako bosi wako anakuambia uende na unafanya kile ambacho bosi wako anakuambia ufanye, Kama ukipinga kile ambacho bosi wako anataka ukifanye Basi unakuwa fired, yaani kazi ndiyo unakuwa hauna Tena, na hiyo kukupeleka kukosa mshahara na hivyo kushindwa kumudu mahitaji ya Nyumbani.

Lakini haiishii hapo, vipi kuhusu familia yako na wale wote ambao wanakutegemea, Je Kama usipoutumikia Mfumo vipi hatma yao, hapo, hapo ndiyo inapelekea mtu kujikuta akiuhudumia Mfumo ili tu awafanye wale wanaomzunguka kuwa na furaha.

🤏Lakini pia hata hao tunaowaita mabosi pia wanafanya hivyo ili kuwafurahisha mabosi zao, kwa sababu kila bosi nae anabosi wake pia.

Utakuta unaambiwa Chukua mazao shambani na uyapeleke supermarket na msipofanya hivyo wote kazi hamna.

Lakini naye pia anafanya kile ambacho ameambiwa na watu wa supermarket na akienda kinyume hiyo tenda ya kupeleka bidhaa atapewa mtu mwingine.

Lakini tukija kwenye ngazi za juu pia Yule anayeisimamia hiyo supermarket Ana kazi ya kuwaambia ma shareholders ambao wapo kwa ajili ya kuwawakilisha mabosi zao. Na hao mabosi pia Wana mabosi zao, Basi Ni mzunguko huo tu unaendelea hivyo.

Huu mzunguko ndiyo kusema kila bosi Ana bosi wake au kila mtumwa wa mtu Ni bwana wa mwingine, au kila kondoo wa mtu Ni mchungaji kwa kondoo mwingine.

Na hii ndiyo Njia au misingi ambayo watu wa ulimwengu wamejiwekea, Mfumo unataka kila mmoja awe na mtumwa wake anayemtawala, na inafanyika hivyo katika Njia tofauti tofauti zaidi ya bilioni, ili ukikoswa katika Njia Mona Basi upatikane katika Njia nyingine.

Mfumo Wala hautuhudumii sisi Ila sisi ndiyo tunauhudumia Mfumo, Tumekuwa watumwa ambao tunajiona kwamba tuko huru, kwa sababu hatutaki kuitafuta Ile kweli ilio ndani mwetu.

IMG_20240319_235510_946.JPG
 
View attachment 2952919
Sio mchezo
 
The whole world is ruled under fear, through the following categories:

School: Obey or Fail.

Religion: Obey or Hell.

Government: Obey or Jail.

People are mentally enslaved.
Darn, that is rather sad.

I can assure you that not all living person are rulled or can be rulled by fear.

There are levels depending on the personal growth of that specific person.

Bottom - Greed and Fear as you said. And these are primitive.

Mid - Logic and Reason as the man evolveth

High - Love and Service as the man peaketh in his growth journey

So: There are people living under service, and logic even in those government/religion/schools in which you evidently observed that they are run by fear.

But...... careful there because we tend to see things nit 'as they are' BUT as 'we are' most of the time. It is personal, subjective.
 
Tofauti ya binadamu na viumbe wengine ni kitu tunaita INTELLIGENCE, ni uwezo mkubwa wa ubongo wa binadamu kuchakata taarifa zinazo mzunguka ili kumsaidia kuishi.
Umewahi kujiuliza ingekuwa vipi kama binadamu tusingekuwa na upeo huu wa kuchakata taarifa na tukawa kama nyani au viumbe wengine maporini?
 
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118]

Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo matukio unaojirudia, ukajenga mazoea yaliyojenga tabia na ndiyo ukapewa jina na kuitwa maisha.

Wala hatuyaishi maisha Ila maisha ndiyo yanatuishi sisi, kivipi tuendelee utaelewa.

Asilimia kubwa ya watu wanaambiwa kipi Cha kufikili, Wapi pa kwenda, Kipi Cha kufanya na hata jinsi ya kukifanya, lakini si hivyo tu bado Kuna mengi nyuma ya pazia.

Je, umeshawahi kujiuliza Ni wapi unakozipata hizo taarifa zako ambazo unaziamini na kusema zimetoka kwenye Chanzo Cha kuaminika, Je unapata wapi taarifa zinazokuongoza kujijua wewe Ni Nani na ulimwengu Ni Nini!!

Je, Ni Nani anayekuamulia muda wako wa kuamka na kwenda kufanya kazi?, Na je Ni Nani anayeamua uende wapi na ufanye Nini pindi unapofika huko??.

🤏Asilimia kubwa ya kundi la watu ndiyo wapo kwenye ndoto hii ya ulimwengu, maamuzi ya hayo maswali hapo juu Wala hayafanywi na wewe, Ila Mfumo uliopandikizwa ndani yako ambao unakuongoza wewe na maisha yako kwa ujumla.

Taarifa zako unazipata kutoka kwenye chombo kikubwa Cha habari, ambacho kimekuwa kikikuuzia uongo wa kuuamini kila siku, Na uongo huo ndiyo umekutengezea wewe kitu gani Cha kufikilia na kipi Chakukiamini.

Kuna muda maalum ambao inatakiwa uamke ili uwahi kwenda kazini kwa sababu ukichelewa Ni kimbembe kutoka kwa bosi wako.

Unaenda kule ambako bosi wako anakuambia uende na unafanya kile ambacho bosi wako anakuambia ufanye, Kama ukipinga kile ambacho bosi wako anataka ukifanye Basi unakuwa fired, yaani kazi ndiyo unakuwa hauna Tena, na hiyo kukupeleka kukosa mshahara na hivyo kushindwa kumudu mahitaji ya Nyumbani.

Lakini haiishii hapo, vipi kuhusu familia yako na wale wote ambao wanakutegemea, Je Kama usipoutumikia Mfumo vipi hatma yao, hapo, hapo ndiyo inapelekea mtu kujikuta akiuhudumia Mfumo ili tu awafanye wale wanaomzunguka kuwa na furaha.

🤏Lakini pia hata hao tunaowaita mabosi pia wanafanya hivyo ili kuwafurahisha mabosi zao, kwa sababu kila bosi nae anabosi wake pia.

Utakuta unaambiwa Chukua mazao shambani na uyapeleke supermarket na msipofanya hivyo wote kazi hamna.

Lakini naye pia anafanya kile ambacho ameambiwa na watu wa supermarket na akienda kinyume hiyo tenda ya kupeleka bidhaa atapewa mtu mwingine.

Lakini tukija kwenye ngazi za juu pia Yule anayeisimamia hiyo supermarket Ana kazi ya kuwaambia ma shareholders ambao wapo kwa ajili ya kuwawakilisha mabosi zao. Na hao mabosi pia Wana mabosi zao, Basi Ni mzunguko huo tu unaendelea hivyo.

Huu mzunguko ndiyo kusema kila bosi Ana bosi wake au kila mtumwa wa mtu Ni bwana wa mwingine, au kila kondoo wa mtu Ni mchungaji kwa kondoo mwingine.

Na hii ndiyo Njia au misingi ambayo watu wa ulimwengu wamejiwekea, Mfumo unataka kila mmoja awe na mtumwa wake anayemtawala, na inafanyika hivyo katika Njia tofauti tofauti zaidi ya bilioni, ili ukikoswa katika Njia Mona Basi upatikane katika Njia nyingine.

Mfumo Wala hautuhudumii sisi Ila sisi ndiyo tunauhudumia Mfumo, Tumekuwa watumwa ambao tunajiona kwamba tuko huru, kwa sababu hatutaki kuitafuta Ile kweli ilio ndani mwetu.

View attachment 2952919
Sikupingi mkuu
 
Tofauti ya binadamu na viumbe wengine ni kitu tunaita INTELLIGENCE, ni uwezo mkubwa wa ubongo wa binadamu kuchakata taarifa zinazo mzunguka ili kumsaidia kuishi.
Umewahi kujiuliza ingekuwa vipi kama binadamu tusingekuwa na upeo huu wa kuchakata taarifa na tukawa kama nyani au viumbe wengine maporini?
tena afathar na hao wanyama wanaoish maporin wanaish maisha halisi ambayo yana kizi vigezo vya kidunia ila binadamu kwa kujifanya mjuaji anaona mnyama ndio hana upeo jiulize hayo unayoishi yamekusaidia nn mpaka unakufa?
 
tena afathar na hao wanyama wanaoish maporin wanaish maisha halisi ambayo yana kizi vigezo vya kidunia ila binadamu kwa kujifanya mjuaji anaona mnyama ndio hana upeo jiulize hayo unayoish yamekusaidia nn mpaka unakufa? Swal hl lijibiwe na mwenye akili
Kusema wanyama wana nafuu si kweli. Wanyama wanaishi kwenye pre planned narratives, ambayo tuiite silika. Binadamu anaishi kwenye free conscious, tuiite akili. Wapo binadamu kundi fulani ndio wameweza ku manipulate hii akili kiasi cha kuwafanya wengine kuishi kwenye narratives ( tuiite mifumo). Wanaofaulu kuchomoka kwenye hizi narratives ndio tunasema nje ya box.

NB: sijazingatia maneno yako ya mwisho
 
Back
Top Bottom