Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
 
Du yaani uzi mmoja umeufungua mara mbili, ila hivyi blue ivy, North West je unawasikia mpaka sasa eti au ina maana Jay z (album yake iliyotoka mwezi wa sita imegonga platnumz ndani ya wiki), beyonce (msanii aliyepiga ila ndefu kupitia tour yake mwaka jana kuliko msanii yoyote), Kanye West (anauza sana viatu) na Kim umarufu wao umeporomoka. Mimi ninachokushauri fanya shughuli zako, diamond platnumz kweli atashuka kimziki lkn sio kwa sasa, acha kulazimisha ndugu yangu, huyu jamaa bado sana, kama umaarufu wake umeshuka basi diamond karanga zingedoda, lkn ukitembea barabarani vipakti kibao vya diamond karanga na kama umaarufu wake ungeshuka marry me isingeshika no 1 wiki mbili mfululizo trace na kukaa ktk 5 bora zaidi ya wiki nne MTV na hivi sasa MTV fire inashika no 6 ktk chati za nyimbo za Africa, hapo bado hujaja ktk mikataba, kama umaarufu wake umeshuka coca cola, GSM mall, Vodacom (wanadhamini tour ya WCB mwaka huu mikoa 11) nk wasingempa mkataba na juzi juzi Kenya kaingia mkataba na Safaricom, sasa jiulize huyo msanii wako unayempenda ww kwa mwaka huu ana hit ngapi na mikataba mingapi, hata basi wa kampuni za pipi hana, hapo sijagusa YouTube (Kuna mdau alisema millard ayo anapiga ela ndefu je diamond platnumz atapiga sh ngapi wakati yy ndiye msanii mwenye view nyingi kuliko yoyote East Africa) ,hapo sijagusa wasafi.com. Sasa sikuelewi unavyosema umaarufu wake umeshuka alafu kaa ukijua huyo ni mtoto hata hao mastaa ulaya mwanzoni mwanzoni utawasikia watoto wao wakitrend lkn baada ya mwaka inakuwa kawaida. Ila kwa ushauri usimchukie diamond platnumz kwani ukimchukia utapunguza siku zako za kuishi, alafu moyo wako utakuwa umeufunga na chuki na mungu atashindwa kukubariki, alafu jamaa hashuki leo wala kesho.
 
imebidi nichukue sharubati na dayamondi karanga ili nipitie polepole huu ujumbe wako
 
Hivi eneka iliofanana na ile nyimbo ya Davido ipi imeanza kutoka?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
We kweli hamnazo, huyo mtoto ukiangalia account yake utazimia, mtoto hata miaka mitatu hajafika ila anahela kukuzidi
 
Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukajadili malaika asiyefahamu hata kuna Jamiiforum!?
 
Wabongo muache ujinga jamani, hivi mnajilulizaga huyo mtoto wa Diamond ana umuhimu gani katika maisha yenu? Mnakuwa wajinga mpaka mnajisahau, yaani mtoto tu wala hawasaidii lolote anawanyima raha?
 
Duuuuh hivi mpaka leo kuna watu bado wanakaa na kupoteza muda wako kuandika kitu kaa hiii kweli vijana wengi hatuna kazi za kufanya...............
 
Umeviona vile viatu alivyovalishwa kwa birthday photo shoot hahahahah!... Too much fame hata kumvalisha mtoto wanashindwa sasa hzo hela za nn... Kama cyo wiz mtupu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…