Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana.

Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo asili yake. Akina Mwalusakho. Simba walidhani hatutajua asili ya huyu mchezaji. Mimi nlihisi toka mwanzo kuwa huyu ni Mbongo toka Nyanda za Juu Kusini.

Akina Mwalusakho wengi wanasema walisambaza Ukoo wao Mpaka nchi za Huko Magharibi mwa Afrika. Na Wanyakyusa wengine kama akina Amulike, Amunike huko Nigeria. Pia akina Mwambape n.k.

Duniani hakuna siri kabisa ingawa wanajaribu kuficha ficha ila damu haijifichi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom