Barakha John
Member
- Sep 24, 2024
- 49
- 163
Jambo hili watu wengi Hawalifahamu na ndio silaha ya mwisho kwa watumiaji wa Samsung Kwa Iphone …!
Kwa sasa mchuano kati ya Samsung Na Iphones ni Mkali sana mbele ya umati na mamilioni ya watumiaji ….
…. Kila mmoja akiwa anatamba na brand yake huku kila mmoja akimuona mwenzake yupo nyuma ya wakati .
Laiti wengi wangejua ukweli huu pengine wangeacha kabisa kujisifia ,…. Mbele ya uso wa watu wanaonesha …
Kuwa na ugomvi , mashindano , vijembe na mbaka kuburuzana mahakamani , ila Nyuma ya Pazia brandi hizi 2 zinakaa pamoja kwenye viti virefu na Kugonga Chairs 😅 na unapo nunua iphone ukihisi unamkomoa samsung … kumbe unamuongezea Mapato 🙌
This is interesting story….
Kivipi ?
Relax nitakuambia ….
…..Lakini kwanza soma hii …
Habari , Naitwa Baraka wengi hupenda kuniita Mr. Kidigitali…
Mimi ni mtaalamu wa teknolojia na pia nimekuwa nikiuza simu na Laptop katika soko la kariakoo kwa muda wa miaka 5 sasa .
….. bidhaa zetu zote ni Original tu Zenye warranty hadi miaka 2 used na mpya .
Simu kama Samsung , Nothing phones , Iphones , Xaomi , Original huawei , One plus tunazo Used Na Mpya zenye warranty hadi miaka 2 .
Unaweza kutembelea ukurasa wetu wa Instagram @simukidigitali au ukatupigia / WhatsApp +255 757468193.
Kwa ushauri / mahitaji ya simu & Laptop au kujifunza kuhusu Electronic devices tuna group utajiunga pia .
… Back to story
Usichoke tajiri …. Soma hapa 👇
Mbaka kufikia mwaka 2007 kampuni ya Samsung ilikuwa inatengeneza vioo na ilikuwa tayari imeteka soko kwa asilimia kubwa duniani
…. Na ilipofika mwaka 2012 Samsung wakaboresha teknolojia ya vioo vyake mara dufu .
Apple , ilipokuwa inawaza kuja na iphone X ndipo wakaingia dili rasmi na Samsung kuwa supplier wake wa vioo.
Hivyo bhasi mwaka 2017 iphone X ilipo toka ikawa inatumia vioo kutoka kwenye kampuni ya Samsung .
Unashangaa !?
…. Habari ndio hiyo !
Sasa unaweza jiuliza , Process yake inakuaje ?
Kwanza kabisa tambua Apple haitengenezi simu zake nyewenye kila kitu
Ina design aina ya simu na namn inavyo kuwa kisha wananunua materials kutoka sehemu tofauti kwa makampuni mbali mbali .
Mfano battery , Body , mashine , kioo kutoka Samsung , camera kutoka Sony kisha kusafirishwa kwenda kwenye viwanda vyao huko China na india kwa ajili ya kufanyiwa Assembling.
Ndio maana …
Simu zote za Apple hazijaandikwa MADE IN CHINA , AU USA AU INDIA
…. Zimeandikwa DESIGNED BY APPLE IN CALFORNIA ASSEMBLED IN CHINA .
Hii inamaana mchoro kamili unachorwa nchini marekani na vifaa vyote vinavyo takiwa kisha kila kampuni lina pewa kazi yake
Kutokana na nini Apple inataka kisha vikipatikana byote , vinapelekwa china / India kisha kuunganishwa na kuwa simu kamili .
Je, ….
Ulikuwa unajua hili ? Kwamba Apple hutumia vioo vinavyo tenegenzwa na kampuni ya Samaung ?
Hivi ndivyo biashara ilivyo mbele huleta taswira ya kuto kuelewana lakini nyuma ya pazia ni Kampuni zinazo elewana na kufanya biashara pamoja .
Ukiuliza kwanini , sababu za kibiashara kuongeza ushindaninsokoni na kuongeza mauzo kwa kila mmoja wao
Usisahau …kutupigia / WhatsApp ujiunge na group Community yetu sasa kwa kupiga 0757468193
Tupo Kariakoo Aggrey , na msimbazi