Ukweli unaofichwa : Watanzania wamegawanyika mno kuhusu Taifa Stars

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika sana na mamluki ili kufifisha mijadala yenye tija , Uzalendo siyo Uzuzu au ubwege , uzalendo ni pamoja na kuhoji mambo mazuri au mabaya yanayoonekana kwenye jamii yetu , kuwa mzalendo haimaanishi kwamba wewe ni ndondocha uliyeng'olewa ubongo , ni lazima ifahamike humu jf na kwingineko kwamba kuhoji si kosa .

Ni dhahiri Watanzamia wamegawanyika kabisa kuhusiana na timu yao na mpaka sasa Haijafahamika sababu hasa ya watanzania kugawanyika kiasi hiki , uchunguzi wangu umebaini kwamba wanaoishangilia ni wachache mno kuliko wanaozomea , huo ndio ukweli ambao baadhi ya watu wanataka ufichwe , ni vema wadau wakajiuliza hali hii inatokana na nini , kujua sababu za hili ni nusu ya jawabu , toeni madukuduku yenu , sababu hasa ya kuitosa timu yenu ni nini ?
 
Haijafahamika sababu hasa ya watanzania kugawanyika kiasi hiki kuhusiana na timu yao , wanaoishangilia ni wachache mno kuliko wanaozomea , huo ndio ukweli ambao baadhi ya watu wanataka ufichwe , ni vema wadau wakajiuliza hali hii inatokana na nini , kujua sababu za hili ni nusu ya jawabu , toeni madukuduku yenu , sababu hasa ya kuitosa timu yenu ni nini ?

Tumegawanywa na wanasiasa. Timu imetekwa na wanasiasa.
 
IMG-20190627-WA0005.jpeg
 
Wala haujafika mkuu, ukweli ambao uko wazi, hata mtoto ambaye bado yuko tumboni kwa mama yake hajazaliwa anaona
 
Hakuna mgawanyiko mkuu hizo porojo sisi hapa mwendo wa BIG SCREEN KUSHANGILIA MPAKA KIELEWEKE …(NO REAEARCH NO RIGHT TO SPEAK )
 
Mi nilikua naishabikia taifa stars afcon 2019 mpaka mechi ya kwanza na senegal na nkasema mechi ya kenya tutashinda ila siku ya uzinduzi wa taifa gas nilichoshuhudia na yale mamuzi ya mkula kumtuma bashite misri akahakikishe ushindi aiseee nimekula u-turn mpaka kenya naishangilia na leo maombi yangu tz tufungwe kabsaa kisa kipururu cha makonda na unafkii wao kwa watz na taifa stars

Poleni wazalendo wote tunaoyubishwa na wanasiasa uchwara hao
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika sana na mamluki ili kufifisha mijadala yenye tija , Uzalendo siyo Uzuzu au ubwege , uzalendo ni pamoja na kuhoji mambo mazuri au mabaya yanayoonekana kwenye jamii yetu , kuwa mzalendo haimaanishi kwamba wewe ni ndondocha uliyeng'olewa ubongo , ni lazima ifahamike humu jf na kwingineko kwamba kuhoji si kosa .

Ni dhahiri Watanzamia wamegawanyika kabisa kuhusiana na timu yao na mpaka sasa Haijafahamika sababu hasa ya watanzania kugawanyika kiasi hiki , uchunguzi wangu umebaini kwamba wanaoishangilia ni wachache mno kuliko wanaozomea , huo ndio ukweli ambao baadhi ya watu wanataka ufichwe , ni vema wadau wakajiuliza hali hii inatokana na nini , kujua sababu za hili ni nusu ya jawabu , toeni madukuduku yenu , sababu hasa ya kuitosa timu yenu ni nini ?
 
Hakuna mgawanyiko mkuu hizo porojo sisi hapa mwendo wa BIG SCREEN KUSHANGILIA MPAKA KIELEWEKE …(NO REAEARCH NO RIGHT TO SPEAK )
Tafiti hupingwa kwa tafiti mpya
 
Tatizo timu yetu ya taifa imetekwa na chama kimojawapo hapa nchini kwa manufaa yao binafsi kisiasa

Back
Top Bottom