Ukweli unaokereketa: AC Milan na Yanga ni klabu pekee ulimwenguni ambazo hadi sasa hazijafungwa kwenye ligi zao

wew unatembea na mwiko nyuma muda wowote utaingia tuu we tulia..acha uupuzi
 
Huo ndiyo ukweli. Hongereni sana Yanga na miamba ya soka ya Ulaya na dunia AC Milan. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza katika kuilinda rekodi hii ya kuvutia.
Yanga: Daima Mbele, Nyuma Mwiko!
Umepitia ligi zote za dunia kabla ya kuandika mada yako?

Cheki hapo ligi ya Ujerumani kuna Leverkusen na Wolfsburg hazijafungwa.
 
Wakati wa ukuaji wangu nilikuwa naamini sana hakuna watu wazima wajinga lakini cha ajabu nilivyokua mtu mzima niliona watu wazima wengi sana wajinga.

Wewe ni mmoja wao yani ni mjinga sana.
Siendi mbali ligi ya Afrika ya Kusini ina timu 5 ambazo hazijapoteza mpaka sasa.
Swallows, Orlando, Mamelodi n.k
 
Kwahiyo sisi mbumbumbu fc tunashiriki vp msiba wa azam fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo sisi mbumbumbu fc tunashiriki vp msiba wa azam fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolo shirikini kwa kuitazama Simba SC/mnyama Taifa kubwa ikiichambaga fc plateau nyumbani kwake.
 
We ni bonge la kilaza Lille ya ufaransa haijamfunga ac Milan goli 3 bila week kama mbili zimepita
 
We ni bonge la kilaza Lille ya ufaransa haijamfunga ac Milan goli 3 bila week kama mbili zimepita
Mkuu hata mimi nashangaa

Au anamaanisha wapi

Europa kabomolewa gori tatu huyo ac milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…