Ukweli unaokereketa: AC Milan na Yanga ni klabu pekee ulimwenguni ambazo hadi sasa hazijafungwa kwenye ligi zao

Huo ndiyo ukweli. Hongereni sana Yanga na miamba ya soka ya Ulaya na dunia AC Milan. Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza katika kuilinda rekodi hii ya kuvutia.

Yanga: Daima Mbele, Nyuma Mwiko!
Ukweli mwingine unaokereketa ni kwamba utakapofika mwisho wa msimu, bingwa ni Juventus (Italia) na Simba (Tanzania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…