Ukweli unaokufanya uwe na nguvu

Ukweli unaokufanya uwe na nguvu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
. Kukataa kujilinganisha na watu Wengine hukufanya uwe na nguvu....

2. Kukubali udhaifu wako, hukufanya uwe na nguvu zaidi ..

3. Kukabiliana na changamoto zako uso kwa uso, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

4. Kujipa fursa ya kuanza upya Baada ya kushindwa, hukufanya uwe na nguvu zaidi ...

5. Kukataa kutojiamini kama kikwazo, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

6. Kufanya kazi kwa Mtazamo wa Upate na Wengine wapate, hukufanya uwe na nguvu zaidi ..

7. Kutokujilaumu mwenyewe hasa Mambo yanapoonekana kwenda Tofauti na Matarajio yako, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

8. Kuamini katika uwezo wako, hukufanya kuwa na nguvu zaidi..

9. Kuwapandisha watu juu katika kutimiza ndoto zao, hukufanya kuwa na nguvu zaidi...

10. Kutokujidharau mwenyewe, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

12. Kuamini Mafanikio ya kweli ni mchakato unaoambatana na juhudi zako, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

13. Kujisamehe mwenyewe kwa makosa yako ya nyuma, Hukufanya kuwa na Nguvu zaidi..

4. Kuishi Leo yako, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

NB: Kumtanguliza MUNGU katika kila unachofanya, ni ufunguo wa nguvu zako zote...
 
Motivation speakers wana rahisisha mambo, ila uhalisia unabaki vile vile, huwezi kukwamishwa na watu mara tano bado ukaendelea kua na imani nao na kuwapenda vile vile.
 
. Kukataa kujilinganisha na watu Wengine hukufanya uwe na nguvu....

2. Kukubali udhaifu wako, hukufanya uwe na nguvu zaidi ..

3. Kukabiliana na changamoto zako uso kwa uso, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

4. Kujipa fursa ya kuanza upya Baada ya kushindwa, hukufanya uwe na nguvu zaidi ...

5. Kukataa kutojiamini kama kikwazo, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

6. Kufanya kazi kwa Mtazamo wa Upate na Wengine wapate, hukufanya uwe na nguvu zaidi ..

7. Kutokujilaumu mwenyewe hasa Mambo yanapoonekana kwenda Tofauti na Matarajio yako, hukufanya uwe na nguvu zaidi...

8. Kuamini katika uwezo wako, hukufanya kuwa na nguvu zaidi..

9. Kuwapandisha watu juu katika kutimiza ndoto zao, hukufanya kuwa na nguvu zaidi...

10. Kutokujidharau mwenyewe, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

12. Kuamini Mafanikio ya kweli ni mchakato unaoambatana na juhudi zako, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

13. Kujisamehe mwenyewe kwa makosa yako ya nyuma, Hukufanya kuwa na Nguvu zaidi..

4. Kuishi Leo yako, hukufanya kuwa na Nguvu zaidi...

NB: Kumtanguliza MUNGU katika kila unachofanya, ni ufunguo wa nguvu zako zote...
Endelea kuandika zaidi Mkuu. Dunia hii katili inahitaji sana maandiko ya aina hii, yenye kutia Moyo, Faraja, Matumaini na kumuonesha Msomaji ANAWEZA KUWA BORA ZAIDI akijitambua. Hili litasaidia Vijana wengi kutoyakimbia Maisha na kwenda kununua Mafuta, Vitambaa, Chumvi ya Upako ili watoboe.
 
Kiongozi naona unafaa kabisa uwe mentor Wangu
👍🏿👍🏿👍🏿
 
Motivation speakers wana rahisisha mambo, ila uhalisia unabaki vile vile, huwezi kukuamisha na watu mara tano bado ukaendelea kua na imani nao na kuwapenda vile vile.
Mkuu, soma alichoandika mwana na jitahidi uelewe kuna mantiki sana.
 
Back
Top Bottom