Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

A man from Island

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2020
Posts
211
Reaction score
376
Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani.

Direct To The Point;
Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili Tatizo Limenivunja Moyo Maana Nilitaka Ni Apgrade To That Fragship.

Kwenu Miamba, Je, Kuna Ukwel Wowote Kuhusiana Na Hili!?
 
Kwenu Miamba Muliowahi Kuzitumia Hizi Simu, Tuambieni. Je, Kuna Ukweli Maana Mtu Anaweza Kupoteza Hela Yake Bure.
 
Kama hukubaliani na review, basi go ahead with what your heart like! [emoji4]
 
Maana Mimi Ili Simu Niifurahie, Imudu Kukakaa Na Chaji Atleast Masaa Kumi On Series Tasks (heavy Use).
 
Tafuta Samsung A9 Pro (2016) chaji siku mbili

battery 5000 mAh

UCScreenshot20200923104134.png
 
Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani.

Direct To The Point;
Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili Tatizo Limenivunja Moyo Maana Nilitaka Ni Apgrade To That Fragship.

Kwenu Miamba, Je, Kuna Ukwel Wowote Kuhusiana Na Hili!?
Mkuu wewe kwanza unataka simu kwa ajili ya Nini? Flagship yoyote ile iwe ni Note 20, Oppo find X, p40, oneplus 8 etc haitakaa na Chaji compare na Midrange ama lowend, na ku heat pia tegemea iwe ya moto matumizi yakiwa makubwa, kuna simu zina hadi mafeni. Hivyo ni vyema kujua Matumizi yako kwanza na kitu unachofanya halafu ufanye maamuzi mazuri, kama ukaaji chaji na simu kutopata joto ni priority yako pengine kuna simu nzuri zaidi.

Kuhusu Exynos na snapdragon version ni kweli Snapdragon (865) inakaa na chaji zaidi kuliko mwenzake wa Exynos na haipati joto sana kama Exynos.

Ila tetesi za awali galaxy s21 Exynos yake inaweza kuwa nzuri zaidi ya snapdragon 875, hivyo kusubira pia ni option
 
Sawa Mkuu! Itanibidi NiWe Mpole. Nisubili Toleo Lijalo. Maana Nilitaka Nichukue Moja Kati Ya Simu Hizo Kwa Ajiri Ya Shughuri Zangu Mbalimbali Mbali Na Matumiz Ya Kawaida!
 
Option nyengine mkuu ni variety za Hizi simu.

Mfano kuna s10 lite, s10e, na nyengine inakuwa S20FE (fan edition). Hizi zote zinakuwa ni kama wakubwa wake upande wa perfomance na zinatumia snapdragon version ila wanapunguza vitu kama qulity ya kioo na camera. Bei zake pia zinakuwa nafuu compare na wakubwa zake.
 
Back
Top Bottom