Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

Mkuu wewe kwanza unataka simu kwa ajili ya Nini? Flagship yoyote ile iwe ni Note 20, Oppo find X, p40, oneplus 8 etc haitakaa na Chaji compare na Midrange ama lowend, na ku heat pia tegemea iwe ya moto matumizi yakiwa makubwa, kuna simu zina hadi mafeni. Hivyo ni vyema kujua Matumizi yako kwanza na kitu unachofanya halafu ufanye maamuzi mazuri, kama ukaaji chaji na simu kutopata joto ni priority yako pengine kuna simu nzuri zaidi.

Kuhusu Exynos na snapdragon version ni kweli Snapdragon (865) inakaa na chaji zaidi kuliko mwenzake wa Exynos na haipati joto sana kama Exynos.

Ila tetesi za awali galaxy s21 Exynos yake inaweza kuwa nzuri zaidi ya snapdragon 875, hivyo kusubira pia ni option
Mkuu Mkwawa naomba unisaidie utatuzi,simu inashindwa ku-connect na Tv via USB.,ila nikijaribu simu nyungine za matoleo ya zamani zinakubali,hii ni Tecno spark 4. kama kuna jinsi nielekeze ili niwawekee watoto cartoon.
 
nimeona simu za tecno otg ipo kwenye menu, jaribu kuiweka on

na tv yako haina wifi?
 
Hapana mkuu Tv haina WiFi ni zile Samsung za mda kidogo, hapo juu sijakuelewa otg maana yake nini?.
Otg ni feature ya Usb kuweza kuconect na vifaa mbalimbali kama flash, mouse, etc

Nimeona mahala hio simu otg unaiweka on kwa setting, hivyo nenda setting ya simu search kwenye connectivity humo.

Ama ukichomeka waya wa usb angalia kama kuna kitu kinatokea kuhusiana na hio setting.
 
- File transfer
- Usb tethering
- MIDI
- No data Transfer
Mkuu CHIEF MKWAWA nina uzoefu kidogo na smartphone,ila hizo option uki-select hazirespond mdio inazidi kuonesha kuwa iko na chaji. Nilifili labda haya matoleo hizi feature imenyimwa. Labda niifanyie factory reset.
Hata hivyo simu ni mpya ina miezi miwili.lakini kila mara inaniomba update,
 
Back
Top Bottom