A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 211
- 376
Nilitaka Kupata Mrejesho Kutoka Kwa Members Wa Hapa Waliowahi Kuzitumia Hizi Simu Mbili!Kama hukubaliani na review, basi go ahead with what your heart like! [emoji4]
Funguka Mkuu!! Kwann Hizi Exynos Chip Hazitaki Shida?hii exynos chip haitaki shidaah
Tafuta Samsung A9 Pro (2016) chaji siku mbiliMaana Mimi Ili Simu Niifurahie, Imudu Kukakaa Na Chaji Atleast Masaa Kumi On Series Tasks (heavy Use).
Mbona Toleo La Muda Sana, Bado Inapata Update Kweli!? Uwezekano Wa Kununua Refub Ni Mkubwa!, Je Kuhusu Battery Health Ukoje Maana Miaka Minne Si Haba!?
Mkuu wewe kwanza unataka simu kwa ajili ya Nini? Flagship yoyote ile iwe ni Note 20, Oppo find X, p40, oneplus 8 etc haitakaa na Chaji compare na Midrange ama lowend, na ku heat pia tegemea iwe ya moto matumizi yakiwa makubwa, kuna simu zina hadi mafeni. Hivyo ni vyema kujua Matumizi yako kwanza na kitu unachofanya halafu ufanye maamuzi mazuri, kama ukaaji chaji na simu kutopata joto ni priority yako pengine kuna simu nzuri zaidi.Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani.
Direct To The Point;
Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili Tatizo Limenivunja Moyo Maana Nilitaka Ni Apgrade To That Fragship.
Kwenu Miamba, Je, Kuna Ukwel Wowote Kuhusiana Na Hili!?
Unataka simu inayokaa na chaji au unataka mwaka???Mbona Toleo La Muda Sana, Bado Inapata Update Kweli!? Uwezekano Wa Kununua Refub Ni Mkubwa!, Je Kuhusu Battery Health Ukoje Maana Miaka Minne Si Haba!?
Sawa Mkuu! Itanibidi NiWe Mpole. Nisubili Toleo Lijalo. Maana Nilitaka Nichukue Moja Kati Ya Simu Hizo Kwa Ajiri Ya Shughuri Zangu Mbalimbali Mbali Na Matumiz Ya Kawaida!Mkuu wewe kwanza unataka simu kwa ajili ya Nini? Flagship yoyote ile iwe ni Note 20, Oppo find X, p40, oneplus 8 etc haitakaa na Chaji compare na Midrange ama lowend, na ku heat pia tegemea iwe ya moto matumizi yakiwa makubwa, kuna simu zina hadi mafeni. Hivyo ni vyema kujua Matumizi yako kwanza na kitu unachofanya halafu ufanye maamuzi mazuri, kama ukaaji chaji na simu kutopata joto ni priority yako pengine kuna simu nzuri zaidi.
Kuhusu Exynos na snapdragon version ni kweli Snapdragon (865) inakaa na chaji zaidi kuliko mwenzake wa Exynos na haipati joto sana kama Exynos.
Ila tetesi za awali galaxy s21 Exynos yake inaweza kuwa nzuri zaidi ya snapdragon 875, hivyo kusubira pia ni option
Nimechagua Kusubiri Samsung S30 Ultra Itoke Mwakan!!!Unataka simu inayokaa na chaji au unataka mwaka???
kama vipi tafuta s20
Option nyengine mkuu ni variety za Hizi simu.Sawa Mkuu! Itanibidi NiWe Mpole. Nisubili Toleo Lijalo. Maana Nilitaka Nichukue Moja Kati Ya Simu Hizo Kwa Ajiri Ya Shughuri Zangu Mbalimbali Mbali Na Matumiz Ya Kawaida!
Anza ni s20 hiyo utavunja mwakaniNimechakugua Kusubiri Samsung S30 Ultra Itoke Mwakan!!!
Hapa Umemaanisha Nini?Anza ni s20 hiyo utavunja mwakani
Nunua S20 halafu mwakani unanunua s30Hapa Umemaanisha Nini?
Hapana, Bajeti Haitaniruhusu Ila Nitasubir Tu Maana Mwezi March Sio Mbali Sana. Ni Kama Nusu Mwaka Tu Umesalia!Nunua S20 halafu mwakani unanunua s30
Andaa 2+MHapana, Bajeti Haitaniruhusu Ila Nitasubir Tu Maana Mwezi March Sio Mbali Sana. Ni Kama Nusu Mwaka Tu Umesalia!