Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

Mkuu Mkwawa naomba unisaidie utatuzi,simu inashindwa ku-connect na Tv via USB.,ila nikijaribu simu nyungine za matoleo ya zamani zinakubali,hii ni Tecno spark 4. kama kuna jinsi nielekeze ili niwawekee watoto cartoon.
 
nimeona simu za tecno otg ipo kwenye menu, jaribu kuiweka on

na tv yako haina wifi?
 
Hapana mkuu Tv haina WiFi ni zile Samsung za mda kidogo, hapo juu sijakuelewa otg maana yake nini?.
Otg ni feature ya Usb kuweza kuconect na vifaa mbalimbali kama flash, mouse, etc

Nimeona mahala hio simu otg unaiweka on kwa setting, hivyo nenda setting ya simu search kwenye connectivity humo.

Ama ukichomeka waya wa usb angalia kama kuna kitu kinatokea kuhusiana na hio setting.
 
- File transfer
- Usb tethering
- MIDI
- No data Transfer
Mkuu CHIEF MKWAWA nina uzoefu kidogo na smartphone,ila hizo option uki-select hazirespond mdio inazidi kuonesha kuwa iko na chaji. Nilifili labda haya matoleo hizi feature imenyimwa. Labda niifanyie factory reset.
Hata hivyo simu ni mpya ina miezi miwili.lakini kila mara inaniomba update,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…