Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

Mkuu Mkwawa naomba unisaidie utatuzi,simu inashindwa ku-connect na Tv via USB.,ila nikijaribu simu nyungine za matoleo ya zamani zinakubali,hii ni Tecno spark 4. kama kuna jinsi nielekeze ili niwawekee watoto cartoon.
Mkuu, Nimejaribu Kucheki Spec&Features Za Hiyo Simu Yako (Tecno Spark 4) Sioni Features Za Wife Direct & USB On The Go(OTG). Kukosa Kwa Hizo Feature Ndo Mwanzo Wa Simu Yako Kushindwa Kuconnect Na Tv Yako Through Usb Wire.
Otherwise Fanya Kama Mkwawa Alivyokudirect (kama Hiyo Option Ipo).
 
Siku zinavyo kwenda matumizi yangu ya simu yanazidi kuwa madogo......sijui ndio uzee wenyewe?

Zamani nilikua nazingatia kweli specifications na matolea mapya
Lakini sasa huwa nina ka Samsung kadogo double line kwaajili ya calling na sms za kawaida

Smart phone kwaajili ya social media watsap 2, twitter, facebook, jf, na betting app basi
Email kidogo sana
Siangalii movie wala kusikiliza muziki kwa simu wala game wala sijui kupiga mapicha picha nk

Na kwa mwendo huu hata sipati tena matatizo ya chaji kila mara kama zamani
Nikiitoa simu mfukoni nawasha data nachungulia online kidogo nazima naendelea na mambo mengine

Zamani sasa khaa

Simu ni matumizi yako tu
 
Alternative kama una flash nunua waya wa otg uwe unahamisha toka kwenye simu kwenda flash, then tumia flash kuangalizia kwenye tv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…