JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Tumezoea ujinga na upumbavu wa mwashambwa kumbe na ww umo kwenye kundi la wajinga mkuu,pole sana kwa kuizima Akili yako TIMAMU.Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Tanzania kinashika nafasi ya tisa duniani kwa ukubwa
Hapa kuna orodha ya vyama kumi vikubwa vya siasa duniani kulingana na idadi ya wanachama:
- Bharatiya Janata Party (BJP) – India: Wanachama milioni 198 (2023)
- Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) – China: Wanachama milioni 99 (2023)
- Indian National Congress (INC) – India: Wanachama milioni 55 (2023)
- Democratic Party – Marekani: Wanachama milioni 45.1 (2024)
- Republican Party – Marekani: Wanachama milioni 36.1 (2024)
- All India Anna Dravida Munnetra Kazhagam (AIADMK) – India: Wanachama milioni 20 (2023)
- Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) – Pakistan: Wanachama milioni 20 (2024)
- Dravida Munnetra Kazhagam (DMK) – India: Wanachama milioni 20 (2023)
- Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Tanzania: Wanachama milioni 12 (2022)
- Justice and Development Party (AKP) – Uturuki: Wanachama milioni 11 (2024)