UKWELI USEMWE: CCM ni Chama Kikubwa Nambari 9 Duniani

Tumezoea ujinga na upumbavu wa mwashambwa kumbe na ww umo kwenye kundi la wajinga mkuu,pole sana kwa kuizima Akili yako TIMAMU.
 
Hakuna chama kingine bora hapa Africa tofauti na CCM, kama kipo kitaje.
Narudia tena, watu wajinga tu ndio hujivunia ukubwa au uzee wa chama. Kama ccm kwako ni chama bora, basi Africa litakuwa ni bara lenye vyama vya kipuuzi sana. Chama ambacho hata mgombea wake hayuko tayari kuhojiwa popote, hicho sio chama bali ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
CHADEMA watakuwa namba 5 duniani kwani wana wanachama 25M.
 
Mmeenda kuchagua Dinosaur kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama, bure kabisa, mna kusanyika, mnaita wasanii, Yutong, finally mnachagua mzee wa miaka 80 kuwa Makamu mwenye kiti wa chama kwa hofu ya vijana eti wata pindua katika uongozi.
 
Chama kisichokwamua wananchi...Sasa maana ya kuwa kubwa ni nini sasa.
 
CCM bila polisi na tithi ni sawa na mkojo wa kuku tu.
 
Pia kinaongoza kuogopa uchaguzi.
Kama kumbukumbu zipo sawa, tangu uchaguzi wa TAA uliompa Nyerere madaraka kwa mara ya kwanza, hakuna uchaguzi tena uliowahi kufanyika.
Baada ya hapo ni mwendo wa 'mapinduzi' tu.
 
Na vipi Chama Cha Wachoma mabango (CCWM)?
 
(CCM) Chama Cha matapeli
 
Chama kinacho ogopa uchaguzi unaweza kukiweka kundi ?.
 
Usisahau kuongezea kwamba ndio chama kinacho ongoza kwa kumiliki wajinga wengi duniani, hiyo ni point muhimu sana na isisahaulike kabisa.
 
Ukubwa wa population, demokrasia Cha mwisho😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…