Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

Hivi mnapoandika huwa mnakuwa mmevuta Cha wapi? Yanga dhaifu? Umemaliza msimu huna hata kikombe Cha kuiba unamuitaje mwenzio dhaifu? Umefeli kimataifa umefeli mashindano yote ya ndani halafu unajiita Bora?
 
Yanga ni dhaifu πŸ™„

Ana Nbc cup
Ana ngao ya jamii
Fainalist AFC!

Simba ni imara imetolewa na Whdad anayecheza fainali ila alifingwa kwenye group stage na timu ya Rivers utd ambayo imetolewa na Yanga kwenye robo fainal ya CccπŸ™„πŸ˜….

Ukiona timu yako hajashika kikombe chochote msimu basi jiandae kushika mimba πŸ™„
 
Kwahiyo utopolo msimu ujao mtacheza Champions league au ndo mtaandika barua ya kujitoa ili mkacheze tena na vilaza wenzenu shirikisho,, maana Cafcl hakuna akina Usm alger na marumo
 
Nasikia Mh Rais kaialika Yanga ikulu kuipongeza kwa hatua iliyofikia CAFCC, ni kweli? Nahisi amewakubali kwa soka safi!
 
Chelsea alishinda Champions League kwa mara ya kwanza kwenye ligi alishika nafasi ya tano.

Unavyocheza kwenye ligi sivyo unavyocheza kwenye CAF. Ingekua hivyo basi bingwa wa CAF hastahili kufungwa na timu yoyote kwenye ligi yake ya ndani.

HOVYO KABISA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…