Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Huu ujumbe Makolokolo wanaupita kama vile wanapishana na gari taka [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ujumbe Makolokolo wanaupita kama vile wanapishana na gari taka [emoji16]
2021-2022 Ndiyo ilikuwa CAFCCL mbovu tangu kuumbwa kwa dunia maana timu nyingi zilikuwa hazifanyi mazoezi tokana na lockdown ya COVID-19, Mbumbumbu mnahitaji "psychopath disorders elimination counselling".Hawawezi kukubali,hawa wangeingia FEDERATION ya msimu wa 2021-2022 wange imba ki handzabe.
Wazururaji tu TZ hao, 2022 & 2023 misimu miwili yote bila kombe lolote afu unatamba kuwa Makolokolo ni timu bora?Ndio,
Timu ngumu ni SIMBA SC na IHEFU
Chelsea ilikuwa ya 6 mwaka 2012.Chelsea alishinda Champions League kwa mara ya kwanza kwenye ligi alishika nafasi ya tano.
Unavyocheza kwenye ligi sivyo unavyocheza kwenye CAF. Ingekua hivyo basi bingwa wa CAF hastahili kufungwa na timu yoyote kwenye ligi yake ya ndani.
HOVYO KABISA.
Ihefu na Simba zilishiriki ligi kuu na FA. Zimeambulia nn? Na ngao ya jamii je?Ndio,
Timu ngumu ni SIMBA SC na IHEFU
Kwahiyo ile mechi imeisha kwa USMA kushinda sio??Sasa wewe umemfunga?elewaga basi kwanza.....yanga wamefungwa
Na watu wangesema Simba wamewaoulizia USM ALGER sumuKwa mpira ule wa jana kweli Yanga ni mbovu na USMA nao ni wachovu.
Simba angecheza na hivi vibonde Yanga n.k angekuwa anatandika goli 8 kila siku.
Mwakalebela tunamsubiria atupe ratibaAnayejua super cup ya yanga na mamelod inacheza lini anijuze
Kombe mmebeba kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yaliyokuwa yanatokea karibia kwenye mechiMbona kashindwa kuanyakua kombe lolote kubwa ndani ya misimu miwili kea mashinadano aliyoshiriki ? Ingekuwa mashabiki wanojielewa hii Ingekuwa alama kubwa kuwa timu yao ni mbovu na inahitaji mabairesho kuliko kufocous na mpinzani.
Na Azam federation mmetoka kwa makosa ya ki binadamu?Kombe mmebeba kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yaliyokuwa yanatokea karibia kwenye mechi
Hahahahaha!!! sio siri nione Daktari wa karibu unaelekea kuchanganyikiwa jinsi Makolo walivyo na haki mbaya ,kwa ubora wa Yanga duniani kwa sasa anahitaji nguvu za refa ?Kombe mmebeba kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yaliyokuwa yanatokea karibia kwenye mechi
Ubora upi mlionao?Hahahahaha!!! sio siri nione Daktari wa karibu unaelekea kuchanganyikiwa jinsi Makolo walivyo na haki mbaya ,kwa ubora wa Yanga duniani kwa sasa anahitaji nguvu za refa ?
Msimu wa mwisho Makolo kuchukua kombe magoli mengi yalikuwa offside na mechi nyingi zilimalizwa kwa matukio ya utata kuwahi kutokea katika soka la Tz.
Walikuwa bora mpaka mkatoka patupu misimu 2 mfululizo na bado mtaendelea kutoka patupu kwakuwa amjui mnayo timu ya kucheza ndondo cup na sio kushindania ubingwa, mkija kushtuka itakuwa too late!Ubora upi mlionao?
Frolentina na Ahmed Arajiga hao ndio waliokuwa bora
Yuko hoi anashika nafasi ya ngapi? Kacheza michezo 21 anavyo viporo 3 akishinda viporo vyake anaruka mpaka nafasi ya 3 alafu unawadanganya mbumbumbu wenzako uko! Wewe umekosa kila kitu auna ata kikombe cha kunywea wanzuki iwe ligi ya ndani ata kombe la mbuzi umeshindwa kulipata umebaki kuwa kama mama mjamzito anayebagua kila kitu!USMA yuko hoi, hajiwezi anapumulia mashine anaweza hata kushuka daraja huyu ni mpinzani mwepesi sana ni aibu kushindwa kumfunga mtu kama huyu.
Halafu unakosa Kombe kwa mpinzani kama huyo unafurahia kuvaa kamba shingoni[emoji57]
View attachment 2645519
bora zile zilikuwa hazifanyi mazoezi hizi za sasa mazoezi kila muda ila wapo tu kuchoooka mbaya,2021-2022 Ndiyo ilikuwa CAFCCL mbovu tangu kuumbwa kwa dunia maana timu nyingi zilikuwa hazifanyi mazoezi tokana na lockdown ya COVID-19, Mbumbumbu mnahitaji "psychopath disorders elimination counselling".
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app