Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

Hawawezi kukubali,hawa wangeingia FEDERATION ya msimu wa 2021-2022 wange imba ki handzabe.
2021-2022 Ndiyo ilikuwa CAFCCL mbovu tangu kuumbwa kwa dunia maana timu nyingi zilikuwa hazifanyi mazoezi tokana na lockdown ya COVID-19, Mbumbumbu mnahitaji "psychopath disorders elimination counselling".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea alishinda Champions League kwa mara ya kwanza kwenye ligi alishika nafasi ya tano.

Unavyocheza kwenye ligi sivyo unavyocheza kwenye CAF. Ingekua hivyo basi bingwa wa CAF hastahili kufungwa na timu yoyote kwenye ligi yake ya ndani.

HOVYO KABISA.
Chelsea ilikuwa ya 6 mwaka 2012.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tuu.. yani timu ilobeba ubingwa mara mbili mfululizo katika ligi ambayo na wewe unashiriki ndo iwe mbovu na wewe uwe bora.. yaani umeshiriki ngao ya jamii umepata zero, mapinduzi cup umepata zero, FA umepata zero mpaka ligi kuu unazero na bado unafuraha..
 
Kwa mpira ule wa jana kweli Yanga ni mbovu na USMA nao ni wachovu.

Simba angecheza na hivi vibonde Yanga n.k angekuwa anatandika goli 8 kila siku.
Na watu wangesema Simba wamewaoulizia USM ALGER sumu
 
Mbona kashindwa kuanyakua kombe lolote kubwa ndani ya misimu miwili kea mashinadano aliyoshiriki ? Ingekuwa mashabiki wanojielewa hii Ingekuwa alama kubwa kuwa timu yao ni mbovu na inahitaji mabairesho kuliko kufocous na mpinzani.
Kombe mmebeba kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yaliyokuwa yanatokea karibia kwenye mechi
 
Kombe mmebeba kwasababu ya makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yaliyokuwa yanatokea karibia kwenye mechi
Hahahahaha!!! sio siri nione Daktari wa karibu unaelekea kuchanganyikiwa jinsi Makolo walivyo na haki mbaya ,kwa ubora wa Yanga duniani kwa sasa anahitaji nguvu za refa ?

Msimu wa mwisho Makolo kuchukua kombe magoli mengi yalikuwa offside na mechi nyingi zilimalizwa kwa matukio ya utata kuwahi kutokea katika soka la Tz.
 
Ubora upi mlionao?

Frolentina na Ahmed Arajiga hao ndio waliokuwa bora
 
Ubora upi mlionao?

Frolentina na Ahmed Arajiga hao ndio waliokuwa bora
Walikuwa bora mpaka mkatoka patupu misimu 2 mfululizo na bado mtaendelea kutoka patupu kwakuwa amjui mnayo timu ya kucheza ndondo cup na sio kushindania ubingwa, mkija kushtuka itakuwa too late!
 
USMA yuko hoi, hajiwezi anapumulia mashine anaweza hata kushuka daraja huyu ni mpinzani mwepesi sana ni aibu kushindwa kumfunga mtu kama huyu.

Halafu unakosa Kombe kwa mpinzani kama huyo unafurahia kuvaa kamba shingoni[emoji57]

View attachment 2645519
Yuko hoi anashika nafasi ya ngapi? Kacheza michezo 21 anavyo viporo 3 akishinda viporo vyake anaruka mpaka nafasi ya 3 alafu unawadanganya mbumbumbu wenzako uko! Wewe umekosa kila kitu auna ata kikombe cha kunywea wanzuki iwe ligi ya ndani ata kombe la mbuzi umeshindwa kulipata umebaki kuwa kama mama mjamzito anayebagua kila kitu!
 
2021-2022 Ndiyo ilikuwa CAFCCL mbovu tangu kuumbwa kwa dunia maana timu nyingi zilikuwa hazifanyi mazoezi tokana na lockdown ya COVID-19, Mbumbumbu mnahitaji "psychopath disorders elimination counselling".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
bora zile zilikuwa hazifanyi mazoezi hizi za sasa mazoezi kila muda ila wapo tu kuchoooka mbaya,
 
Back
Top Bottom