sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu.
Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city.
Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement .
Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa muziki mzuri ukipitisshwa kwenye mitambo hata live zake za youtube sio sauti halisia kuna maboresho ya sauti uwa yanafanyika.
Anaebisha atazame live yake mlimani city au atazame kesho leaders club.