sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Upo nje ya mada. Israel Mbonyi ni msanii wa studio ndio topic.wewe chawa wa wasafi hayo ni maoni yako na pia tambua kwamba muziki wa Mungu(gospel)hatuna hizo mbwembwe za live show muhimu jumbe ukubariki.
Attention aliyopewa na alicho deliver akipewa tena show kubwa mniite pakaMbona hakuna shida tutaendelea kumsikiliza
Huyo haimbi miziki yenu ya "weka mate niteleze kama nyoka pangoni" kiazi weweUpo nje ya mada. Israel Mbonyi ni msanii wa studio ndio topic.
Si kweli, Israel Mbonyi kwa sasa yupo kwenye peak ila hawezi kupambana na Rose mhando, Bahati Bukuku walaHakuna msanii wa gospel anayependwa kuliko mbonyi africa mashariki na kati yote
Punguza umavi kichwanimuziki wa Mungu(gospel)hatuna hizo mbwembwe za live show muhimu jumbe ukubariki.
Akili ndio kitu ulinyimwa.Shida wewe unamlinganisha na Diamond. Huwezi kuwaona sawa.
Jiondoe kwenye uchawa na upofu wa kuamini Diamond ndio SI unit ya muziki utaona uhalisia wa waimbaji
Yuko sahihi mziki wa Gospel ni WA Mungu na Wa kidunia ni WA watu wa Mataifa(shetani) ..Rejea nyimbo za nyegezi by diamond au za zuchuPunguza umavi kichwani
Miziki yotee nibya Mungu
Walokole acheni kujihesabia HAKI NYIE TU na VITU VYENU.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Walokole ni watu wajinga kwa kujihesabia haki.Yuko sahihi mziki wa Gospel ni WA Mungu na Wa kidunia ni WA watu wa Mataifa(shetani) ..Rejea nyimbo za nyegezi by diamond au za zuchu
Ila zuchu anayeimba SUKARI utadhani kanywa gongo ndo msanii wa live? Achaga uchawa wa kimama we ndinaNajua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu.
Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city.
Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement .
Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa muziki mzuri ukipitisshwa kwenye mitambo hata live zake za youtube sio sauti halisia kuna maboresho ya sauti uwa yanafanyika.
Anaebisha atazame live yake mlimani city au atazame kesho leaders club.
hakuna Mtu anayejihesabia haki,ila kwa la sababu ya ukaidi wako unahisi wanajitenga ama wanavyokemea maovu unahisi wanajiona wako sawa.Walokole ni watu wajinga kwa kujihesabia haki.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Walokole kama walokole.hakuna Mtu anayejihesabia haki,ila kwa la sababu ya ukaidi wako unahisi wanajitenga ama wanavyokemea maovu unahisi wanajiona wako sawa.
Turudi kwenye mada ,usilinganishe hata siku moja mziki wa kidunia na mziki wa dini yeyote Ile.Hata kama ala zinafanana,ila ujumbe ni vitu viwili tofauti ....Giza na mwanga
Wewe ungepewa akili ungechaguwa kuwa chawa wa Diamond kweli mdogo wangu?Akili ndio kitu ulinyimwa.