Ukweli usemwe! Mbowe amejengwa na wanaosema kawajenga yeye

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca
 
Wanaosema Mbowe tuvushe ni wajinga sana. Maana kiuhalisia wao ndio wanaomvusha Mbowe kiuchumi kupitia mgongo wa chama.
 
Attachments

  • GeqYF78XAAAFaUf.jpg
    GeqYF78XAAAFaUf.jpg
    81.2 KB · Views: 5
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca
Sasa hapo mwenye akili ni wao au Mbowe aliyewakusanya na kuwaleta Chadema? Kwenye leadership skills wanasema a good leader has a sharp eye to spot potential personnel and use them for his benefits! And that's what Mbowe did!
 
Upo sahii nanhao wameusika kwa % ubea sana kukijenga Chama na kuvutia wanachama wapya kujiunga kwa sababu ya ushawishi wao

Mbowe sijui kaingiwa na wazimu gani kutaka kuwatoa kwenye uongozi hao jamaa wote, na wakati hajaandaa vijana na viongozi wenye ushawishi kama hao
 
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca
It was a team work. Kidole kimoja hakivunji chawa
 
Sasa ukisikia majungu ndio haya, Yani umlinganishe Mchora Ramani na mtu atakae tekeleza Ramani useme wa pili ndo kumsaidia wa kwanza?

Unajua ifike sehemu ukubali tu kuwa flani anauwezo mkubwa inatosha.
achore tena tumwone yeye mwamba
baada ya hili kama mbowe atakuwa mwenyekiti na TL na wenzie wakatimka cdm ndo bas tena
 
Sasa hiyo haitoshi kufanya useme eti wao ndio wamejenga, Toka lini wachezaji ndio wakamjenga kocha?

Lissu hatashinda, na Mbowe atashinda lakini Chadema itadidimia na sababu sio Kwa sababu kina Lissu wataondoka, sababu ni zingine kabisa.
 
Hawawezi kuelewa.

Tundu Lisu a wise man, and Mbowe who knows the wise man

Who is the wise man? Again Tundu Lisu

Just because you see potential on others doesn’t make you have the same potential. Imekufanya u identfy potential

Na aliotoa mfano wa mpira, kwani ikitanbua Messi ni mkali, does it make you in the same league with Messi

Bad reasoning The Technologist
 
Dogo unajiita mwenyewe au?

Mimi naongelea uhalisia wewe unaongelea ukabila.
Mbowe hakusoma na ndio maana anakubalika na ambao hawakusoma.

Ila Lissu shule imelala, japo wanamwita mropokaji ila anajua. Nilicheka ile imterview anauliza hayo maneno anayatakia nini? Eeh
 
I see bs
Kwamba angepambania vijana wengine CDM isingekuwa?

Kwani TLP na NCCR ilikuwa na wanachama wawili tu? Wengine wapo wapi kwa sasa?

Ku recognize effort za mtu hazikufanyi dhaifu, unakuwa gentleman..

Msigwa ni mtu wa hovyo sana na kwa umri wake atavuna haraka sana hii mbegu anayopanda
 
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca
Sahihi, Mbowe aache utapeli
 
Lissu, Lema na Msigwa walikuwa wabunge kabla hawajahamia Chadema?

Amandla...
 
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca
Lema alishinda ubunge Arusha mjini mwaka 2005 ikasemekana aliuza haki yake. Mbowe ninamkubali kwa kuweza kufanya usajili wa maana alipochukua uenyekiti. Ile cream yote aliyoisajili imekula shavu sana kwenye serikali ya CCM. Mbowe na helikopta yake 2005 alikiamsha sana chama chake.
 
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.

Ukweli huo

Britanicca

Huu ukweli hauwezi kuupata popote labda kwa mtu asiye na dhambi.😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom