Ukweli usemwe! Mbowe amejengwa na wanaosema kawajenga yeye

Ukweli usemwe! Mbowe amejengwa na wanaosema kawajenga yeye

Lema alishinda ubunge Arusha mjini mwaka 2005 ikasemekana aliuza haki yake. Mbowe ninamkubali kwa kuweza kufanya usajili wa maana alipochukua uenyekiti. Ile cream yote aliyoisajili imekula shavu sana kwenye serikali ya CCM. Mbowe na helikopta yake 2005 alikiamsha sana chama chake.
Alipata kura 800000/- za watoto wa nyumbu .
Sasa hivi akigombea atapata kura 250,000/ za watoto wa fisi .

Mbowe ni laghai sana .

Mbowe must go.
 
Msigwa Kapita na Andiko lako
Screenshot_20250106-104309.jpg
 
Hawawezi kuelewa.

Tundu Lisu a wise man, and Mbowe who knows the wise man

Who is the wise man? Again Tundu Lisu

Just because you see potential on others doesn’t make you have the same potential. Imekufanya u identfy potential

Na aliotoa mfano wa mpira, kwani ikitanbua Messi ni mkali, does it make you in the same league with Messi

Bad reasoning The Technologist
Sasa mkuu ukitaka Kujua Messi ni mbora akiwa uwanjani ama akiwa kocha, mpe ukocha ndipo utanielewa.
 
Sasa hiyo haitoshi kufanya useme eti wao ndio wamejenga, Toka lini wachezaji ndio wakamjenga kocha?

Lissu hatashinda, na Mbowe atashinda lakini Chadema itadidimia na sababu sio Kwa sababu kina Lissu wataondoka, sababu ni zingine kabisa.
Mbowe alishapoteza ushawishi na imani kwa wanachadema walio wengi.
Chama kimedidimia na kinaelekea kufa kabisa.
Huu ni wakati wa kuchukua mwelekeo mpya utakaorudisha imani na morali ya wanachama
 
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005 alipata kura 42000 ukweli ni kwamba Lema alishinda ubunge. Mbowe aliona potentials kwao akawa leta CHADEMA.


Ukweli huo

Britanicca
Mbowe ameijenga chadema, aliifanya chadema miaka hiyo ikapendwa na vijana wasomi hasa kwenye vyuo na kuwapa nafasi vijana za kisiasa.
Lakini kila zama na wakati wake. Sasa mbinu hizo ambazo zilizaa matunda wakati huo kwa siasa za sasa haziwezi kufanya kazi tena. Siasa zimebadilika sana kwa sasa.
Ni kama kocha. Kuna muda anaweza tamba timu ikabeba makombe. Ila kuna muda mbinu zake zinapwaya na analetwa mwingine.
 
Mfano wako ni mfu
Sio lazima ukubaliane na Mimi, ila Kila mtu ameumbwa na Ufalme/Nguvu zake za kiroho.

Na ndio hivyo ilivyo, na ndio tofauti ya Lissu na Mbowe.

Kwani ilikuwaje Lissu akakubali kujiunga Chadema Kwa ushawishi wa Mbowe?

Unadhani kama Lissu angekuwa kiongozi wa chama akamfuata Mbowe, unadhani Mbowe angekubali?

Na kwanini?

Unafikiri Kwa yanayoendelea Lissu anapozungumza hivyo wajumbe wapiga kura wanamchukuliaje?

Unafikiri kwanini sio sahihi kuchukua fomu na kufanya kampeni bila haya yafanyikayo Sasa, na kumshinda Mbowe na kukisuka Chadema vile uonavyo?

Usitazame mambo juu juu...!
 
mbowe ana uwezo wa kuwa double agent only that!
ana maslahi binafsi na cdm
 
Mbowe arudi Yanga akatutafutie wachezaji ni scout mzuri
 
Back
Top Bottom