Ukweli usemwe: Ni Mwenge wa Uhuru au wa Utumwa?

Ukweli usemwe: Ni Mwenge wa Uhuru au wa Utumwa?

Mkuu wewe pambana hivyo unavyojua. Mjibu hiyo hoja uliyoiona, muelimishe unavyotaka.


Nimefundishwa, mtu akitukana, mtukane, akikupiga kibao, mpige mara mbili.

Amedhihaki na kuwatukana Watanzania. Simwachi.......huyo.... wahed
Umepaniki sana inaonekana ni mnufaika wa mwenge. Hebu tupelo elimu kidogo tuone faida za mwenge

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kwenye mwenge kuna milupo balaa
Nakuhakikishia kitu, mtashindwa na mtalegea sana.

Uhuru wetu is here to stay, hakuna mtu, watu ambao watakuja tena kuuparaganya.


Na mwenge wetu utaendelea kuwepo. I guarantee that.


Angalia humo kichwani mwako, upo uwezekano mkubwa tu kuwa, kumejaa fikra za Kitumwa.

.....Na Ufinyu wa Mawazo
 
Back
Top Bottom