Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa sasa hapa nchi. Na ndio maana ni wazi kabisa Album za kina Harmonize na Darassa basi zinaendelea kuwa album bora sana na zenye nyimbo nzuri sana na hazichochi kusikilizwa.
Rayvany ni mmoja ya wasanii wazuri na wasanii bora kabisa wanaojua kutunga na kuimba lakini kwa Album hii yake watu na mimi tuna amini kabisa huu ubovu wa album yake umechangiwa kabisa na wanaomzunguka kwenye management yake.
Album ya Rayvany ni moja ya Album zilizo andaliwa kwa kukurupuka sana tena sana na ndio maana hata mamneja wake ni kama waliipuuza kabisa... na kitu kikisha puuzwa na watu wanao kuzunguka basi ata jamii itakipuuza tuu.
Album ya Rayvany haikupewa uzito unao stahili kabisa na manajement yake kuanzia promo na kila kitu na wengi wameipa kisogo kila mtu yuko busy na mambo yake Babu Tale yuko busy na ubunge , Diamond yuko busy na familia yake na Salam hajulikani anafanya nini kabisa...
Album ya Rayvanny alikosewa kwenye timing kabisa yaani ni kama hawakujiandaa kuiachia hii Album sema Rayvany na wengine walilazimisha kuitoa hiyo Album ndio maana inaoneakana kama wameipuuza kabisa.
Album ya Rayvany haikukaguliwa na mameneja wake na kama wangeikagua lazima wasingekubali itoke kama ilivyotoka kwani Album imejaa nyimbo zisizo bora na mvuto wa kutamani kusikiliza album au shauku ya kununua Album husika ni wazi waliipuuza hii album.
Album ya Rayvany haikuwa kwenye Ratiba ya WCB lakini Rayvany alilazimisha itoke wakawa hawana namna ndio maana support haijawa kubwa kutoka kwa mameneja wake ..... wao walipanga itoke mwakani lakini Rayvany alilazimisha iwe mwaka huu.
Rayvany aliachwa apambane peke yake wakidhani ameshakuwa msanii mkubwa sana hivyo angeliweza kusimama kwa miguu yeke mwenyeyewe lakini ukweli ni kwamba alihitaji support kubwa sana tofauti na walivyokuwa wana mtazama yeye kama yeye.
Wasalaam......