Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #21
Rayvany alikurupuka sana kwenye hii album lakini mimi nitaendelea kuwalaumu management yake... kuhusu Darasa kwakweli huo wimbo ni habari nyingine mimi nilipomsikia Rayvany anatoa album nikadhani kasikiliza album za kina Harmonize na Darasa jinsi walivyo kuwa wamejitahidiMimi kila wimbo ninaouplay mbaya zaidi ya niloucheza nii inaniuma Sana kumbe albam si mchezo eee hongera kwa darassa ile ngoma yake ya loyalty ni kali sana