Rayvany alikurupuka sana kwenye hii album lakini mimi nitaendelea kuwalaumu management yake... kuhusu Darasa kwakweli huo wimbo ni habari nyingine mimi nilipomsikia Rayvany anatoa album nikadhani kasikiliza album za kina Harmonize na Darasa jinsi walivyo kuwa wamejitahidiMimi kila wimbo ninaouplay mbaya zaidi ya niloucheza nii inaniuma Sana kumbe albam si mchezo eee hongera kwa darassa ile ngoma yake ya loyalty ni kali sana
Mkuu album nzuri kila mtu anasema kufikisha hizo views ni kwamba mashabiki wanataka kusikia kilichomo hata mimi nimechangia kwenye hizo views... baada ya kusikiliza ndio tunasema hii ni moja ya album mbovu kabisa kutoka hivi karibuni ,,,,,na wengi hawakutarajia... hivi kwenye hii album ukiacha wimbo wa jux na ule wa mboso ni wimbo gani unaweza kuusikiliza mara kwa mara?Sijui huo ubovu umeuchambulia wapi? Labd unambie featuring n nyingi mnoo hapo sawa. But ukiambia hii album ndo ya kwanza east Africa kufanya vzr utajib nn mana unasema promo hajapewa! 1 week imefikisha views 105,000,000 kwenye all platforms. Vip ya kondeboy ilifikisha ngap?
Usichambe album, chambua makosa uliyoyaona kwenye hiyo album. Ubovu na uzr wa nyimbo inategemeana na nani imemugusa na nani haijakugusa. Isipo kugusa usiseme n mbaya. Kuna walioguswa wameona n nzuri.
NB. Ndo mana mondi anawakomoa na manyimbo mabovu ila yakuchezeka tu na matusi mengi.
Album ilikosa timing kabisaKiukweli Rayvanny amekrupuka aisee, kipind hiki management yake ipo busy kdog, wasafi tv imefungiwa, vikao vya Bunge vimeanza, n.k hata Mimi naona kuna vitu albam inakosa kabisa ..nyimbo zipo kama zimetungwa haraka haraka , mvuto ni kidog japo kuna nyimbo zingine nzuri Ila overall something is wrong ....
Hata Mimi naungana na mtoa mada huenda management haikutaka albam itoke Ila vanny boy akalazimisha , labda Kwa vile anataka kufungua label yake na studio .....
Ila tumpe pongezi kajitahdi
Naipa lawama Management kwakuwa wao ndio walikuwa wahusika wakuuu wa kuhakikisha kitu bora na chenye mvuto kinatoka na si utumbo huu wa RayvanyHakuna album pale ni upuuzi mtupu,acha kuipa lawama management,uwezo wa Rayvany ndo umeishia pale.
Hata Diamond mwenyewe Album yake ya A boy From Tandale iliishia wapi,
Hiyo ni ishara kuwa WCB kwenye upande wa Album hawako vizuri,Wako vizuri kwenye Single tu.
hahahaha huyo kama zimefwatuka yeye na yule chakumbangala hawana tofautisio Don Nalimison ndo amekwamisha mambo maana kuna jamaa alitabiri hii kitu ya kina rey kutoa albam pamoja na mzee mwenyewe don.
kwa nini hizo views nyingi zisiwe kwa konde boy/wasanii wengine walotoa album nzuri?Mkuu album nzuri kila mtu anasema kufikisha hizo views ni kwamba mashabiki wanataka kusikia kilichomo hata mimi nimechangia kwenye hizo views... baada ya kusikiliza ndio tunasema hii ni moja ya album mbovu kabisa kutoka hivi karibuni ,,,,,na wengi hawakutarajia... hivi kwenye hii album ukiacha wimbo wa jux na ule wa mboso ni wimbo gani unaweza kuusikiliza mara kwa mara?
Hahahaa, et nimechangia. Ila ni kweli mkuu: Kuna nyimbo zipo nzur, zinaweza kufika had kumi, mfanoMkuu album nzuri kila mtu anasema kufikisha hizo views ni kwamba mashabiki wanataka kusikia kilichomo hata mimi nimechangia kwenye hizo views... baada ya kusikiliza ndio tunasema hii ni moja ya album mbovu kabisa kutoka hivi karibuni ,,,,,na wengi hawakutarajia... hivi kwenye hii album ukiacha wimbo wa jux na ule wa mboso ni wimbo gani unaweza kuusikiliza mara kwa mara?
Sijaelewa! Si ni wewe ndie umeandika:-Sasa kwanini wasingempa support hata ya kushauri tuu kuhusu hii album?
Umeshasema hapo, haikuwa kwenye ratiba za WCB, na kwahiyo walishauri sio wakati muafaka lakini akavimba (na-assume maeleo yako ni kweli)! Sasa ushauri gani tena uliokuwa unataka? Na usisahau hao wote uliowataja sio mameneja wa Rayvanny bali ni mameneja wa Diamond. Meneja wa Rayvanny nadhani anaitwa Makame. Sasa endapo album ingekuwa kwenye ratiba ya WCB ndipo hao akina Sallaam wangeingia kwa sababu ni viongozi wa WCB lakini sio wa Rayvanny!Album ya Rayvany haikuwa kwenye Ratiba ya WCB lakini Rayvany alilazimisha itoke wakawa hawana namna ndio maana support haijawa kubwa kutoka kwa mameneja wake ..... wao walipanga itoke mwakani lakini Rayvany alilazimisha iwe mwaka huu.
Huyo Sasa ndo member mtiifu was wcb kuliko hata wewe mfatilie toka zamaniNakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.
Ruttashobolwa
ume-reason kitoto sana mkuu, digital platform ndo kipimo cha album maana huko ndo walipo wasikilizaji unaowasema.Uzuri wa album ni namna msikilizaji anapopata radha ya kile anachokisikiliza kiasi chakukirudia ama kukimiliki.
Kwa wenye hoja ya viewers ama stream kuwa nyingi wanachotakiwa kufaham Mond na Familia ya Wasafi ina ma Die fans wa kutosha hata Producer wao akitoa album ya Beat tupu bado viewer na strem zitakua katika idadi hiyo na hapo hapo tuamini msanii yeyote wa wasafi akijitoa katika familia hiyo bado atatafuta hao viewer kama kwa Konde na Rich mavocal ilivyo.