Ukweli usemwe, vyuo vya Private vina Shida sana

Afisa Tabibu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
511
Reaction score
848
Kama hujasoma chuo cha Public au FBO basi una hasara sana, hapa namaanisha kwa level zote, vyuo vya kati na vya juu.

Vyuo vya Private vinajua kutoza ada kubwa tu na kufaulisha wanafunzu kwa ujanja ujanja ila wanafunzi wanaotoka vyuo hivyo ni weupe sana kichwani.

Serikali iingilie kati, wataalamu wanaotoka vyuo vya Private ni bomuuu
 
Umetumia nini kupima na au umekuja na generalization tu? Embu elezea in details kama msomi
 
Kama hujasoma chuo cha Public au FBO basi una hasara sana, hapa namaanisha kwa level zote, vyuo vya kati na vya juu.

Vyuo vya Private vinajua kutoza ada kubwa tu na kufaulisha wanafunzu kwa ujanja ujanja ila wanafunzi wanaotoka vyuo hivyo ni weupe sana kichwani.

Serikali iingilie kati, wataalamu wanaotoka vyuo vya Private ni bomuuu
Sio vyuo hu hata hizi sekondari na primary ni majanga tupu
 
Back
Top Bottom