UKWELI USEMWE: Wakala wa Mchezaji ni lazima ujue Kiingereza

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tunashangaaga sana inakuwaje wachezaji wetu hawaendi mbali.

Wakienda mbali basi wanaishia hapo Uarabuninna kucheza msimu mmoja na kugeuza.

Kwanini wasitokomee huko huko kwenye Ligi nyinginezo?

Kwanini wakienda wanarudi mara moja?

Kwanini wakina Yikpe na Sarpong na wakina Junior Lokosa tumewaona magarasa hapa ila wako wanacheza kwenye mazingira mazuri zaidi ya hapa?

Kumbe bwana mawakala wa wenzetu wanajua kumwaga yai ili kutetea wachezaji wao.

Hawa mawakala weti wa kibongo wakina George. Jemedari and co. ni wababaishaji tu. Wengi wao wanatafutaga zile 10% za signing fee kwenye vilabu vikubwa kama simba na yanga.

Tofauti na hapo hawana skills zozote za kuwatafutia wachezaji wao marisho safi nje ya nchi.

Wachezaji wao wakitemwa na vilabu vikubwa wanaingia Insta na kurusha vijembe. [emoji23][emoji23]

Baada ya kutengeneza connection za nje wao kutwa wako Insta tu.

Wachezaji wa Kitanzania watasota sana bongo kutokana na hawa wasakatonge. Usikute hata uwezo wa kucheza nje wanao ila wanakosa mtu wa kati tu.

NI WAKATI SASA WACHEZAJI WAANZE KUANGALIA VIGEZO VYA MAWAKALA WANAO WAKABIDHI MAJUKUMU YA CAREER ZAO.

Kimombo Muhimu.
 
Sapoooot
 
Hahahaha.hao sio mawakala ni mameneja.

Wakala lzm utambulilke FIFA ,na ulipe ADA ,ujaze fomu na maswali ujibu,na upitie INTERPOL pia. Huko kote ni kizungu kinatumika
 
Ukiwa Wakala na hata ukiwa Meneja lazima ujue kiingereza coz wewe ni kiungo muhimu kwa mchezaji ili spate connection huko duniani za kucheza mpira na common language huko duniani ni Kiingereza

Mm nashauri wachezaji Wa kitanzania watafute mawakala Wa Kenya,kwa kiingereza chao watawafikisha mbali sana

Yaani wakala au Meneja hana connection kwasababu anaogopa kuzungumza lugha

Aisee kwanza huyu Manula sio wa kucheza Bongo kabisa,ingekuwa ana wakala wake kutoka Kenya au Zambia huyu Manula tungemuona mbali kabisa

Namshauri Manula aachane ni Bin kazumar haraka sana atafute wakala mpya haraka sana ambaye atampeleka mbali zaidi ya hapa akapate exposure zaidi

Hata huyo John Bocco kuna kipindi kwa kiwango chake ilibidi aende kucheza South Africa alitakiwa na vilabu vya Orlando na Kaizer ila Bin kazumar kwa kuogopa lugha kwake lile deal likapepeluka.......Bocco tafuta Meneja au wakala mwingine haraka sana hata majirani wetu Uganda na Kenya wana management nzuri kuliko hizi za mchongo za kina Bin kazumar za kuchukua 10% parcent

Bin kazumar lazima aambiwe ukweli kama hiyo lugha hajui kwa kuitumia kwa manufaa ya wachezaji wake anaowamiliki kwasasa
Aishi Manula
John Bocco
Erasto Nyoni
 
Sisi mawakala wa kichina, kirusi na kiarabu tuna comment wapi?
Hata wakala wa hizo lugha ukifika sehemu yeyote lazima mkataba uwekwe kwa lugha ambayo ni common ya kiingereza

Kiingereza muhimu kwa nyie mawakala na Mameneja,msiwe kama Bin kazumar
 
Hii lugha ni muhimu nyie acheni tu.anatokea mlevi kashakunywa gongo anasema elimu ya tanzania iwe kwa kiswahili hadi chuo kikuuu .shame.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Hata wakala wa hizo lugha ukifika sehemu yeyote lazima mkataba uwekwe kwa lugha ambayo ni common ya kiingereza

Kiingereza muhimu kwa nyie mawakala na Mameneja,msiwe kama Bin kazumar

[emoji23][emoji23]
 
Bin kazumar lazima aambiwe ukweli kama hiyo lugha hajui kwa kuitumia kwa manufaa ya wachezaji wake anaowamiliki kwasasa
Aishi Manula
John Bocco
Erasto Nyoni

Kumbe anawasimamia hawa pia?

Usishangae hata Manula akaongeza mkataba kusalia SIMBA SC ili hali amekuwa akitakiwa na vilabu vya NJE.

Wachezaji ni wazuri mno hao haijanishangaza pia kuona wana zeekea Bongo tu.

Manula ina mpada abadilishe wakal kabla jua halijazama.
 
Hahahaha.hao sio mawakala ni mameneja.

Wakala lzm utambulilke FIFA ,na ulipe ADA ,ujaze fomu na maswali ujibu,na upitie INTERPOL pia. Huko kote ni kizungu kinatumika

Uko SAHIHI.

Uku Bongo tumewapa Umeneja kwa kuwa hawana uwezo wa kujipndisha kuwa MAWAKALA.

Tatizo ni lile lile, LUGHA. [emoji23][emoji23]

Ila chini ya kapeti wanatimiza majukumu yale yale ya uwakala kwa wachezaji lakini hilo likiwa locally sana.

#KICHAKA.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tunashangaaga sana inakuwaje wachezaji wetu hawaendi mbali.

Wakienda mbali basi wanaishia hapo Uarabuninna kucheza msimu mmoja na kugeuza.

Kwanini wasitokomee huko huko kwenye Ligi nyinginezo?

Kwanini wakienda wanarudi mara moja?

Kwanini wakina Yikpe na Sarpong na wakina Junior Lokosa tumewaona magarasa hapa ila wako wanacheza kwenye mazingira mazuri zaidi ya hapa?

Kumbe bwana mawakala wa wenzetu wanajua kumwaga yai ili kutetea wachezaji wao.

Hawa mawakala weti wa kibongo wakina George. Jemedari and co. ni wababaishaji tu. Wengi wao wanatafutaga zile 10% za signing fee kwenye vilabu vikubwa kama simba na yanga.

Tofauti na hapo hawana skills zozote za kuwatafutia wachezaji wao marisho safi nje ya nchi.

Wachezaji wao wakitemwa na vilabu vikubwa wanaingia Insta na kurusha vijembe. [emoji23][emoji23]

Baada ya kutengeneza connection za nje wao kutwa wako Insta tu.

Wachezaji wa Kitanzania watasota sana bongo kutokana na hawa wasakatonge. Usikute hata uwezo wa kucheza nje wanao ila wanakosa mtu wa kati tu.

NI WAKATI SASA WACHEZAJI WAANZE KUANGALIA VIGEZO VYA MAWAKALA WANAO WAKABIDHI MAJUKUMU YA CAREER ZAO.

Kimombo Muhimu.
Haji ana bifu na Kazumari tu na amezoea kudhalilisha wengine ila akiguswa anajifunika mwavuli wa ualbino. Kama unabisha wafanye mdahalo yeye na Kazumari kwa lugha ya kingereza utajua nani hajui kingereza. Yeye Haji anajua tu maneno ya kuchomekea tu lakini hawezi kuflow hata siku moja
 
Hata wakala wa hizo lugha ukifika sehemu yeyote lazima mkataba uwekwe kwa lugha ambayo ni common ya kiingereza

Kiingereza muhimu kwa nyie mawakala na Mameneja,msiwe kama Bin kazumar

Acha upngo we jamaa, so unataka kuniambia mikataba wa wachezaji ujerumani, ufaransa, uhispania, uitaliano, ureno, urusi n.k ipo ktk lugha ya kiingereza au ndo ujuaji tu.
 
Timu ni kutoka Spain na mchezaji anatoka France.......My brother mkataba lazima uwekwe katika common language
 
Kumbe anawasimamia hawa pia?
Wachezaji ni wazuri mno hao haijanishangaza pia kuona wana zeekea Bongo tu.
Hadi wanazeeka, hela waliyoingiza unaweza usiipate hata robo yake hadi unazeeka na wewe! 😂😂 😂
Hii hapa ni habari ya mwaka 2019 wakati wanaongeza mkataba, angalia fedha wanazochukua:

Habari za kuaminika kutoka ndani ya Simba ambazo Championi Ijumaa imezipata zimedai kuwa wachezaji hao kila mmoja amechukua Sh milioni 100 za usajili. Hata hivyo, wachezaji John Bocco, Erasto Nyoni na Aishi Manula ambao tayari wameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa pamoja usajili wao umeigharimu Simba jumla ya Sh milioni 972.

Kila mwezi kila mmoja atakuwa akilipwa Sh 8,000,000 (milioni nane). Bocco pamoja na Nyoni wao wamesaini mkataba wa miaka miwili, hivyo watalipwa Sh 192m kila mmoja kwa kipindi chote cha mikataba yao, wakati Manula amesaini miaka mitatu, hivyo kwa muda huo wote mshahara wake utaigharimu Simba Sh 288m.

“Ukijumlisha fedha hizo za usajili pamoja na zile za mshahara wao, kwa kipindi chote watakachokuwa na Simba utagundua kuwa wote kwa pamoja watachukua shilingi milioni 972,” kilisema chanzo hicho cha habari. Alipoulizwa kuhusiana na hilo, Katibu Mkuu wa Simba, Dk Arnold Kashembe, alisema: “Hayo ni mambo ya ndani ya timu, hapaswi kujua mtu yeyote.”

SWEETBERT LUKONGE, Dar es Salaam
 
Tanzania nzima ina mawakala wasiozidi 15 wanaotambulika na fifa

Umeneja ni kukimbia taratibu za fifa,ingawa kimsingi wote wanafanya kazi inayosimamia mchezaji, ingawa ukiwa wakala una faida kubwa ktk mchezo
 
Back
Top Bottom