muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Manara anajua kiinglish?.kwa kuwa Manara amesema 😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara anajua kiinglish?.kwa kuwa Manara amesema 😆😆😆
Kiingereza,Kireno na Kifaransa ni lugha muhimu sana kuzijua.Lugha hiyo ni English pekee!?
.Tunashangaaga sana inakuwaje wachezaji wetu hawaendi mbali.
Wakienda mbali basi wanaishia hapo Uarabuninna kucheza msimu mmoja na kugeuza.
Kwanini wasitokomee huko huko kwenye Ligi nyinginezo?
Kwanini wakienda wanarudi mara moja?
Kwanini wakina Yikpe na Sarpong na wakina Junior Lokosa tumewaona magarasa hapa ila wako wanacheza kwenye mazingira mazuri zaidi ya hapa?
Kumbe bwana mawakala wa wenzetu wanajua kumwaga yai ili kutetea wachezaji wao.
Hawa mawakala weti wa kibongo wakina George. Jemedari and co. ni wababaishaji tu. Wengi wao wanatafutaga zile 10% za signing fee kwenye vilabu vikubwa kama simba na yanga.
Tofauti na hapo hawana skills zozote za kuwatafutia wachezaji wao marisho safi nje ya nchi.
Wachezaji wao wakitemwa na vilabu vikubwa wanaingia Insta na kurusha vijembe. [emoji23][emoji23]
Baada ya kutengeneza connection za nje wao kutwa wako Insta tu.
Wachezaji wa Kitanzania watasota sana bongo kutokana na hawa wasakatonge. Usikute hata uwezo wa kucheza nje wanao ila wanakosa mtu wa kati tu.
NI WAKATI SASA WACHEZAJI WAANZE KUANGALIA VIGEZO VYA MAWAKALA WANAO WAKABIDHI MAJUKUMU YA CAREER ZAO.
Kimombo Muhimu.