Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Huu ni uchunguzi wangu binafsi.
Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule ndege mkubwa mweusi mwenye mdomo mwekundu (ndege Ngoma) wanamuita 'nditi'. Kumbe hilo neno ni la kimakonde lakini wanakilwa wenyewe wengi hawajui, wanajua ni kiswahili tu. Makabila mengine ya kusini ni Wamwera, Wayao, Wamakua, Wamatumbi na Wangindo. Wote hao, wanasubiri kwa mmakonde.
Bck to the topic, aisee hawa jamaa, pamoja na shits nyingiii utakazozisikia kutoka kwa watu waliopewa kipaji Cha kujivuna, ni watu na nusu aisee.......wapambanaji na wacharikaji mno:
1. Dar Es Salaam bila Wamakonde si Dar tena. Hapo ilipo imechangiwa mno na uchakarikaji wa wamakonde....wapo Kila sehemu na kwenye Kila shughuli. Hata neno 'Wamachinga' nasikia limetokana na wao.
2. Wakulima wakubwa wa korosho ni wao. Naambiwa wilya ya tandahimba tu peke yake inazalisha korosho nyingi zaidi ya mkoa wa Lindi wote. Kusini inachangamka kwa mchango wao kwa kiasi kikubwa.
3. Nimeenda Nanjilinji (Kilwa) wanakolima ufuta, aisee nimewakita Wamakonde kama wote kule wamekamatia fursa.....wanaupiga mwingi tu.
4. Nachingwea, aisee wafanyabiashara wakubwa ni Wamakonde bana.
5. Nineangalia kwenye upande wa dini, hususani Imani kubwa iliyopo kusini ya Kiislamu......nahitimisha kuwa Wamakonde wako serious mno na hilo kuliko wengi. Nimetembelea shule nyingi za Kiislamu huko Nachingwea kwa mfano, Wamakonde wamejaa pomoni.
6. Nilipitia shule flani yenye hosteli ya Ngongo pale Lindi, nimewakita Wamakonde kibao wamekamatia hostel pale wanasoma.....hilo kwa uchache tu.
7. Kwenye Sanaa wapo na wanaendelea kupambana balaa. Tangu Enzi za Tongolanga, ambaye alitufanya sote tuisikie lugha ya kimakonde, mpaka huyu tozi mlamba lips Harmonize. Nasikia mpaka kule futuhi Kuna mmakonde kutoka mtwara.
Wamakonde pokeeni maua yenu.....mnajua kupambana.