Ukweli usemwe,Yanga alikuwa kundi la kifo,TP Mazembe angechangamka Yanga ingeburuta mkia

Ukweli usemwe,Yanga alikuwa kundi la kifo,TP Mazembe angechangamka Yanga ingeburuta mkia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara,

Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi''

Baada ya droo nilijua Yanga hatoboi,TP Mazembe wangechangamka na ibenge asingewaachia Yanga wangeburuta mkia kwenye kundi lao

Gusa achia nivae mpira
 
Hayo ni maoni Yako,lkn Kwa maoni ya yanga waliona ni kundi rahisi kwao.
Ushahidi ni walishangilia sana kupangwa kundi hilo.
 
Kinachombeba Simba kimataifa ni kujua namna ya kutumia vema uwanja wa nyumbani kwa asilimia 90.

Yanga nyumbani mechi 3 kavuna 4 points, kwa namna hiyo hauwezi fuzu.


Tatizo kubwa la Yanga ni mdomo na kuona kama huko CAF ni kwepesi na kuna akina Kayoko wa kuwabeba.
 
kundi la yanga lilikua ni bovu NB hakuna timu itakayo fika nusu fainali
Na huu ndo Yanga alipata kundi jepesi sana.

Sote tunajua kilichokikuta kikosi bora cha Yanga kuanzia kufungwa na Azam,Tabor,Al hilal mpaka na MC alger.

Kama yasingetokea ya kutokea yanga angeongoza Kandi lake bila tabu yoyote.
 
Back
Top Bottom