martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Ukweli usio na walakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mwiko nyuma unamuwashaMkuu umepaniki au niaje?!
Na huo ndio ushindi wao mkubwa wanaoutegemeaga miaka yoteWatakwambia "kama yanga bado sana tukutane tarehe 23 kwa mkapa"😀😀
Eti oooh hatutaki kuonyesha mbinu zetu kwa maadui,mbinu zenyewe sasa utacheka hadi ufeAlisikika kocha mmoja akisema"sisi mechi za kirafiki siyo kipaumbele".....
Hawataki kujipima na mabaunsa kisa hofu ya kufungwa,...
Anyway, hata dhahabu lazima ipite Motoni ndipo iwe dhahabu halisi.
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
makundi ya SENENE labdaYanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
mpaka nimeshindwa kucheka..Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Pamoja na yote bado unashupaza shingoTokea lini kenge wa mikiani ukawa yanga, kwaiyo kucheza mechi za kirafiki kubwa ndo unafanikiwa kwenye mashindano nani kakuambia? Peleka utahira wako uko umbumbuni