Ukweli usemwe, Yanga bado sana!

Alisikika kocha mmoja akisema"sisi mechi za kirafiki siyo kipaumbele".....
Hawataki kujipima na mabaunsa kisa hofu ya kufungwa,...

Anyway, hata dhahabu lazima ipite Motoni ndipo iwe dhahabu halisi.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Eti oooh hatutaki kuonyesha mbinu zetu kwa maadui,mbinu zenyewe sasa utacheka hadi ufe
 
Yanga walikuwa wanacheka sana kipindi Simba anapata ubatizo wa kimataifa kwa kupigwa goli tano Tano, ile hali iliifanya Simba kujitafakari sana na kuongeza bidii. Yanga mkitaka kufanikiwa lazima mpitie huo ubatizo kwanza ili akili ziwakae
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Tokea lini kenge wa mikiani ukawa yanga, kwaiyo kucheza mechi za kirafiki kubwa ndo unafanikiwa kwenye mashindano nani kakuambia? Peleka utahira wako uko umbumbuni
Pamoja na yote bado unashupaza shingo

Mpira n mchezo wa hadharani mkuu Simba amecheza mech za kirafiki na matokeo tunayaona uwanjani mkuu

Simba vs kipanga nadhan umeona kipanga kamkazia mwarabu n timu ya ushindan imeonyesha umakin

Simba vs Al hilal nadhan mmeona matokeo japo walifungwa lakn walipata kipimo

Simba vs altar solar nadhan pia mmeona kilichotokea

Yanga vs transit camp

Yanga vs mbuni

Utaona utofaut wake hapo juu

Simba inafanya vizur na itaendelea kufanya vizur na itafika robo fainal sababu inajua kuzicheza mech za kimataifa



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…