Ukweli usemwe, Yanga ni timu mbovu, inabebwa na Mayele basi

Ukweli usemwe, Yanga ni timu mbovu, inabebwa na Mayele basi

Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa mayele, Yanga ni majimaji tu
Screenshot_20230521-200638.jpg
 
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?

Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?

Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.

Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
poa poa mwenetu nenda sasa kavute shisha ulete uzi mwingine
 
"I signed a player once," he said, before
adding: "Top player. Fantastic player.
"We'd done the deal, then he wanted a goal
bonus. He was a striker. I said: 'What do
you think we're paying you 50 grand a week
for, to miss them?'"

Harry Redknapp
 
Wameitoa team iliyoshuka daraja Caf confederation cup
 
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi...
Unateseka ukiwa wapi?
Unaowaita wabovu ndo wamefanya yale yote ambayo wewe umeshindwa kufanya.

Wamechukua Ngao ya Jamii
Wamechukua Kombe la Ligi Kuu
Wamefika Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania
Wamefika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Na wamefanya yote hayo bila ya viporo vya kuwekeana usiku.

Wewe enzi zako ilikuwa unaacha viporo kumi vya kuwekeana usiku kisa tu unacheza makundi CAF.

Mwaka huu hujapewa viporo umemaliza msimu huna kombe hata moja.

Sasa ukisema Yanga ni mbovu inatakiwa ukapimwe Mirembe.
 
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?

Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?

Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.

Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
Pumba.......
 
Back
Top Bottom