Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa mayele, Yanga ni majimaji tu
poa poa mwenetu nenda sasa kavute shisha ulete uzi mwingineHii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
Basi msimu ujao tutawapa huyo Mayele na Ibrahim Bacca, halafu nyinyi mtatupa Captain John Bocco, pamoja na Joash Onyango! Hapo vipi?Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi...
Unateseka ukiwa wapi?Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi...
Pumba.......Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu