Maumivu yakizidi nenda kamuone DaktariHii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
Unaposema Yanga ni Mbovu inabebwa na Mayele unamaanisha Nini?Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?
Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?
Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.
Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
Hajielewi huyo. Ndo maana Mwenyekiti wao Rage aliwaitaga Simba MBUMBUMBU.Unaposema Yanga ni Mbovu inabebwa na Mayele unamaanisha Nini?