Ukweli usemwe, Yanga ni timu mbovu, inabebwa na Mayele basi

Ukweli usemwe, Yanga ni timu mbovu, inabebwa na Mayele basi

Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi?

Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe?

Itoshe kusema Yanga hamna timu pale.

Ukimtoa Mayele, Yanga ni majimaji tu
Unaposema Yanga ni Mbovu inabebwa na Mayele unamaanisha Nini?
 
Walipocheza na Dodoma jiji na kutangazwa ubingwa, Mayele alifunga bao hata moja kwenye ile mechi?

Ziko mechi ngapi Mayele hafungi wanafunga wenzake?

Yanga itawafanya mvae boksa vichwani mwaka huu.
 
Back
Top Bottom