ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
maneno Aina hii yalisemwa kipindi tumepoteza kwa Ihefu kilicho fuata ni aibuKuanzia Kule mapinduzi Zanzibar, Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini leo wote walikuepo hadi forward jipya la mchongo. Ila ni upuuuuuzi mtupu.
Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu kuanzia FA hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe.
Hata huko kimataifa ni tia maji tia maji tu, hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga.