Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Twende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.