Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
vipofu fc mlifika lini robo chura wewe?Hao simba watafika hata robo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipofu fc mlifika lini robo chura wewe?Hao simba watafika hata robo?
Mkifungwa leo mnamfuata Yanga alipoTusiongopeane wala kufarijiana kinafki ukweli ni kuwa mechi rahisi kwa Yanga ilikuwa ni hii
Kujipa hope kuwa utapata matokeo kwa Cr Belouzidad binafsi nafasi ya hilo kuwezekana naiona ni finyu sana.
Hata wenyewe sidhani kama wana hayo matarajio kwa asilimia kubwa. Focus ya Yanga kwa saizi naona ni bora kuweka nguvu kwenye NBC
AahaaaaKesho simba wajitahidi basi ili kwa majirani watimuane kyup nkononi
Miye nawaombea na mechi ya pili kule Algeria watoe tena drooUlivyoandika ni kama Simba wameshafuzu....ushabiki mbaya sana
Hilo kundi si lelemama. Lina mabingwa watupu wa Misri, Algeria, Tanzania na Ghana...hakuna mshindi wa pili hapo.
Kwa uchanga wako wa kufuatilia soka na ushabiki wako unaona kuwa mambo yameshaisha. Jua kuwa hapo hakuna mwenye uhakika wa kufuzu hadi sasa. Kama hujui kwenye jambo, vyema kukaa kimya.
Huyo Al Ahly ameshinda mechi moja tu na kutoa sare mbili. Amepoteza alama nne. Naye leo ametoa suluhu nyumbani.
Na usipoangalia hiyo nafasi itakuwa yako leo kama utaruhusu kufungwa na WydadUnawaita Wydad mikia kwasababu mko kwenye nafasi sawa?
Wewe nawe kama haujui mambo ya mpira bora ujikalie kimya heshima yako kidogo uliyonayo uendelee nayo.Yanga inachokosa ni uzoefu wa CAF champion league lakini kwa sababu ya uongozi bora chini ya rais Hersi Said watawashangaza wengi robot finalise wanafika tena kwa pints 12 na kuongozq kundi
Kwahiyo kundi la Simba ndiyo kuna mshindi wa pili?Ulivyoandika ni kama Simba wameshafuzu....ushabiki mbaya sana
Hilo kundi si lelemama. Lina mabingwa watupu wa Misri, Algeria, Tanzania na Ghana...hakuna mshindi wa pili hapo.
Kwa uchanga wako wa kufuatilia soka na ushabiki wako unaona kuwa mambo yameshaisha. Jua kuwa hapo hakuna mwenye uhakika wa kufuzu hadi sasa. Kama hujui kwenye jambo, vyema kukaa kimya.
Huyo Al Ahly ameshinda mechi moja tu na kutoa sare mbili. Amepoteza alama nne. Naye leo ametoa suluhu nyumbani.
Yan mashabiki wa Simba nawashangaa sana. Huku ndo wanakojifarijia🤣🤣🤣🤣 ngoja Leo. Nyuzi zote hizi zitapoa na watapoteaMnajifariji kwa matokeo ya Yanga,matokeo ya kesho siyajui ila nina uhakika baada ya mechi ya kesho misuso ya kutokwenda uwanjani itaendelea.
Ndiyo. Wa kwanza SimbaKwahiyo kundi la Simba ndiyo kuna mshindi wa pili?
Kwenda robo sio rahis km unavyofikiri... In short Yanga wajipange msimu ujaoUnaongea maneno meengii na unarudi kwenye point Ile Ile ya yanga akishinda nyumbani, makolo uwa mna akili kweli nyie? Mi nikadhani tiyali yanga keshaondolewa kwenye mbio za kwenda robo kumbe unatuletea hadithi za abunwasi hapa, si usubili zichezwe izo mechi xaxa ndio ulete uozo wako hapa, KUNDI bado liko wazi kwa yeyote ndio maana ya droo za Leo yeyote Ana uwezo wa kwenda robo!
Mountains are there to be climbed.Twende kimahesabu tuache uchale, Yanga ana points 2, amebakisha mechi 2 za nyumbani, mwarabu na Medeama na anamalizia kwa Al Ahly.Anaweza kumfunga Medeama na mwarabu hapa nyumbani lakini kule Misri labda sare, akijitahidi saaaaana, hiyo sare yenyewe labda mwarabu awe amefuzu na mechi moja mkononi, otherwise tusidanganyane.
Al Ahly ana point 5 tayari, anamsubiri Yanga nyumbani, anatakiwa aende Ghana kwa Medeama na aende Algeria kwa mwarabu mwenzake, ina maana ana mechi 1 tu nyumbani na Yanga, mechi 2 anatoka nje.
Medeama ana mechi 1 nyumbani nayo ni dhidi ya Al Ahly, mechi 2 anatoka kwenda kwa Yanga na Mwarabu wa Algeria yaan CRB.Yanga iombe Medeama ifungwe na Al Ahly nyumbani ili ikapate unafuu kule Misri ila Al Ahly akifungwa pale Ghana, iwe jua iwe mvua lazima akoge kule Misri.Hata mkatoe misaada kwa yatima wote kule Misri kufa ni haki yenu.
CRB ana pointi 4 ss hv baada ya kusare nyumbani kwa Al Ahly leo, anamsubiri Medeama na Al Ahly kwao, kwa Medeama atachukua 3 atakuwa na saba, atachukua 1 au 3 kwa ahly ameshafuzu huyo.
Yaani no way out, Yanga lazima amfunge CRB na Medeama hapa kwa Mkapa vinginevyo ameyaaga mashindano abaki asubiri kucheza na akina Mashujaa na Ihefu na uchale mwingi nje ya uwanja.Semaji lenu lenye rangi nyeupe lilishasema mechi kule Ghana ni ngumu na michuano hii ni migumu jamani, haya mwenzenu mliyempiga 4 anacheza kesho.Kila la heri.
Mountains are there to be climbed.Yanga ana mechi mbili nyumbani na ya mwisho ni ugenini akishinda zote mbili atakua kwenye hali nzuri kushinda gemu ugenini hizi za Champions League ni ngumu sana ingawaje pia ukikamiwa unapoteza points tatu muhimu nyumbani...hilo Kundi bado bichi ingawaje kwa wasioujua mpira wanadhani imekwisha jana Al Ahly katoa sare home anaenda ugenini wakitoa sare huko Yanga akishinda hapa kundi litakua gumu kwa Timu zote..ila akishinda Al Ahly hapo itakua anatafutwa mshindi wa pili kati ya CRB na Yanga na kama Yanga atamfunga Medeana kwa maana hiyo atakua kabakiza gemu mbili mbichi moja home na ingine away ya CRB...
Mkuu Medeama wenyewe wanamtamani Sana yangaWewe nawe kama haujui mambo ya mpira bora ujikalie kimya heshima yako kidogo uliyonayo uendelee nayo.
Yanga hadi sasa kacheza mechi 3 kaambulia points 2. Bado mechi 3 zingine ambazo hata akishinda hawezi kufika points 12 unazosema wewe.
Kule kwa Al Ahly anakula kipigo, CRB anamkazia hapa nyumbani sare ama kipigo pia.
Huyo Medeama labda ndiyo timu pekee mnaweza kuifunga hapa nyumbani.
"Over every mountain there is a path,Although it may not be seen from the valley."Mountains are there to be climbed.
Mountains are there to be climbed.
Aliyetoa nae suluhu kakukanda 3 kwa nunge?mlijua luza kapu hii?Ulivyoandika ni kama Simba wameshafuzu....ushabiki mbaya sana
Hilo kundi si lelemama. Lina mabingwa watupu wa Misri, Algeria, Tanzania na Ghana...hakuna mshindi wa pili hapo.
Kwa uchanga wako wa kufuatilia soka na ushabiki wako unaona kuwa mambo yameshaisha. Jua kuwa hapo hakuna mwenye uhakika wa kufuzu hadi sasa. Kama hujui kwenye jambo, vyema kukaa kimya.
Huyo Al Ahly ameshinda mechi moja tu na kutoa sare mbili. Amepoteza alama nne. Naye leo ametoa suluhu nyumbani.
Ile fainali ya umitashumta iliwapa sana kichwa wakajiona wao ni manchester cityAliyetoa nae suluhu kakukanda 3 kwa nunge?mlijua luza kapu hii?
Kundi la simba lina mabingwa wa wapi au halina mabingwa?Ulivyoandika ni kama Simba wameshafuzu....ushabiki mbaya sana
Hilo kundi si lelemama. Lina mabingwa watupu wa Misri, Algeria, Tanzania na Ghana...hakuna mshindi wa pili hapo.
Kwa uchanga wako wa kufuatilia soka na ushabiki wako unaona kuwa mambo yameshaisha. Jua kuwa hapo hakuna mwenye uhakika wa kufuzu hadi sasa. Kama hujui kwenye jambo, vyema kukaa kimya.
Huyo Al Ahly ameshinda mechi moja tu na kutoa sare mbili. Amepoteza alama nne. Naye leo ametoa suluhu nyumbani.
Mnakata tamaa mapema Sana.Tusiongopeane wala kufarijiana kinafki ukweli ni kuwa mechi rahisi kwa Yanga ilikuwa ni hii